Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

Hata Ikisomwa wiki nzima bora apate kifungo cha miaka 30 jela
 
Mle hqmna kesi...PGO yenyewe tu imewaumbua..

Unapataje legal right wakati hukufuata utaratibu wa ukamataji na haki ya uliyemkamata.

Sheria naanzia pale police anapokwambia upo chini ya ulinzi kwa kutumia PGO na si anavyoona yeye inafaa
Lengai alipaswa aje Dkt Magufuli amtetee lakini hayupo, kesi imepindishwa ili afungwe, hilo litatokea pia kwa Mbowe. Tena Mbowe atafungwa maisha.
 
Hivi akihukumiwa na viboko labda 12 kisheria ni nani anatakiwa kumtandika.
 
Lengai alipaswa aje Dkt Magufuli amtetee lakini hayupo, kesi imepindishwa ili afungwe, hilo litatokea pia kwa Mbowe. Tena Mbowe atafungwa maisha.
Kwahiyo magufuli alikuwa anatetea majambazi?
 
Lengai alipaswa aje Dkt Magufuli amtetee lakini hayupo, kesi imepindishwa ili afungwe, hilo litatokea pia kwa Mbowe. Tena Mbowe atafungwa maisha.
Mahakama imejiridhisha pasi na shaka kwamba hata huyo jiwe hakuwa na mamlaka ya kuagiza watu wateswe...waporwe mali .

Fundisho hili ni kwa vijana malimbukeni wa vyeo
 
Viongozi Wote Wanainamisha Vichwa Chini Sasa Hivi
 
Lengai alipaswa aje Dkt Magufuli amtetee lakini hayupo, kesi imepindishwa ili afungwe, hilo litatokea pia kwa Mbowe. Tena Mbowe atafungwa maisha.
Kesi ya mbowe haifanani na ya Sabaya ambayo ilikuwa na ushahidi wa kweli na wazi, kesi ya mbowe ni kesi ya kubambikiwa hata walinzi wa mbowe wametendewa ukatili mkubwa na Polisiccm akina mahita kingai, mbowe hawezi kufungwa hakuna ushahidi wa kuweza kumfunga
 
Moods wekeni kitufe cha kuwezesha mtu kuweka audio file hapa. Nasikia hamu ya kusikiliza ule wimbo wa bia tamu.

Samahanini kwa upuuzi wangu jamani ila kila mtu ana mambo yake[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…