Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

Hata hivyo kesi ya msingi SI Bado? Wewe unasemea maamuzi ya kesi ndogo. Ngoma yenyewe Bado!
 

 
Tunawaomba itakapofika zamu ya Mkiti watoe ushirikiano kama wa leo
Kwa ushahidi upi?
 
Kwahiyo hiyo miaka 30 wanaigawana au kila mmoja Ni kivyake miaka 30?..Daah!
 
Sasa kama mwizi wa kunyang'anya miaka 30 je huyo tunaambiwa gaidi huko si ndio tutamkosa maisha yake yote.

Muda haudanganyi.
 
Na siku Mbowe akila mvua uje ushangilie hivyohivyo
 
Na siku Mbowe akila mvua uje ushangilie hivyohivyo
 
Mle hqmna kesi...PGO yenyewe tu imewaumbua..

Unapataje legal right wakati hukufuata utaratibu wa ukamataji na haki ya uliyemkamata.

Sheria naanzia pale police anapokwambia upo chini ya ulinzi kwa kutumia PGO na si anavyoona yeye inafaa
Walinzi wa mbowe walikuwa wageni hawajui chochote wakaenda kuwakamata kienyeji bila RB wala PGO haikufuatwa na kibaya zaidi wakawafunga pingu saa 24 kila siku huku wakiwatesa kuwapiga kuwalazimisha wakubali ugaidi hewa ugaidi feki ugaidi ambao haukuwepo na haujawahi kuwepo, uonevu mkubwa sana ikiwemo kuwaua Moses lejenje na LT Urio ambao hawakuwa magaidi na hawajui chochote juu ya ugaidi, hakuna kitu kibaya alikifanya magufuli kama hiki hapa Duniani, watesaji wa mbowe na walinzi wake wana pressure kubwa endapo mbowe ataachiwa huru kwani wanahofia laana za ndugu jamaa marafiki na Alibadiri za wapenda haki kote Tanzania
 
Aliyekuwa Dc wa Hai Ole Sabaya baada ya kuhukumiwa amewatoa wasiwasi wafuasi wake kwa kuwapa kauli ya kiroho , Amesema hivi , Nanukuu , MSIJALI MAANA MUNGU YUKO KAZINI , Mwisho wa kunukuu .

Chanzo : Mwananchi

Nachukua nafasi hii mimi binafsi kuipa pole sana familia ya Ole Sabaya kwa shida iliyotokea kutokana na hukumu aliyopewa kijana wao .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…