Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

Ata mm nimemshangaa sana Sabaya,Nimemuwaza sana kuhusu utetezi wake nikakosa Jibu.!
 
Kwahiyo unataka asipewe hukumu ya kifungo ili mbowe nae asihukumiwe au unataka haki itendeke?
 
wanasheria tunaomba ufafanuzi hapa kuna wengine wanasema hukumu ni jumla ya miaka 30 hivyo inagawanywa kwa watu 4 kila mmoja mika 7, wengne wanasema kila mmoja miaka 30 kwasababu miaka haigawanyiki

hivyo ukweli ni upi
 
Nimewai seat
 
Daaaah ya gaidi, huyo lazima ale mvua gaidi mkubwa
 
wanasheria tunaomba ufafanuzi hapa kuna wengine wanasema hukumu ni jumla ya miaka 30 hivyo inagawanywa kwa watu 4 kila mmoja mika 7, wengne wanasema kila mmoja miaka 30 kwasababu miaka haigawanyiki

hivyo ukweli ni upi
Elimu! Elimu! Elimu!
 
Reactions: BAK

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…