Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

Kwani sheria zetu zinaruhusu public execution kwa makosa ya armed robbery?
 
Acha fix wewe ni nani aliyempeleka sabaya kizimbani kama sio "mama"
 
Sabaya Kala 30 huko!!..Mbowe bado kesi iko mahakamani!!..Msaidieni General Sabaya aliyekiri Makosa na kuomba apunguziwe Adhabu kisa ametoa mahali Kwa mtoto wa Mjini (slay queen)
Mbowe akikutwa na hatia je? adhabu yake ni kifungo cha maisha au kunyongwa?
funzo;
wanasiasa fanyeni siasa za kistaarabu na kutunza amani ya nchi.
leo hii tumeona haki imetolewa kwa sabaya.
bado kwa mbowe.
 
Hatimaye haki imetendeka twende kwa akina Makonda na wenzao sasa tuje tumalizie na jpm.
 
Yule aliye jiachia na kutoa maelezo ya uongo na ya kufikirika wakati anahojiwa na Kikeke, alipata wapi hayo mamlaka.

Hivi kuna asiyefahamu kweli kama hii kesi ni ya kupikwa!!
Mimi nazungumzia mwenendo wa kesi inavyoendeshwa sijazungumzia vingine
 
Unasema mahakama ni muhimiri unaojitegemea, hapo hapo unauliza nani wa kupeleka shauri la Makonda mahakamani?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukisha amua kua upande fulani hata ushahidi huwezi kuukubali,hilo mbona lipo wazi? Au umeamua tu kukaza kichwa?
 
Mbowe akikutwa na hatia je? adhabu yake ni kifungo cha maisha au kunyongwa?
funzo;
wanasiasa fanyeni siasa za kistaarabu na kutunza amani ya nchi.
leo hii tumeona haki imetolewa kwa sabaya.
bado kwa mbowe.
 
Huruma ya nini kwani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dada saivi nipo hapa Maji ya Chai Meru DC naulizia nyumba ya binti najua ashalipiwa mahari so tunazungumza tu tuyamalize binti hawezi enda EDA
 
Unasema mahakama ni muhimiri unaojitegemea, hapo hapo unauliza nani wa kupeleka shauri la Makonda mahakamani?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mahakama haihamasishi wenye mashauri kufungua kesi. hiyo haijalishi kama ni huru au siyo huru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…