Janjaweed
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 13,153
- 10,670
Ina maana wewe hukuwaza hivyo hadi Lema ndio aje a kufungua macho?
Sheria ni mzani so never celebrate too much anyways …. When it comes to utekelezaji wa Sheria
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina maana wewe hukuwaza hivyo hadi Lema ndio aje a kufungua macho?
Kwani sheria zetu zinaruhusu public execution kwa makosa ya armed robbery?Sabaya anatolewa kwa rufaa, hapo serikali imeshacheza karata zake. Kwenye rufaa mahakama itatengua hukumu hio. Huyu alitakiwa apigwe risasi mbele ya halaiki pale askari monument mchana kweupe. Iwe fundisho kwa wengine kama kina Paulo.
Subirini muone. Hii nchi ni ya kishenzi sana kwenye swala la haki.
Acha fix wewe ni nani aliyempeleka sabaya kizimbani kama sio "mama"hapa ndipo wabongo mnakosea. kuichukulia poa mahakama. who is the so called 'mama' kwa mahakama? mahakama ni muhimili unaojitegemea, full stop. hata huyo 'mama' akijichanganya kuna siku atapanda kizimbani vizuri kabisa.
hajatokea tu wa kumshitaki makonda na hii ni kwa sababu maeneo aliyokuwa anafanya uhalifu wake yamejaa watu wazembe wasiojielewa, sifuti kauli. fikiria clouds alipovamia na mitutu ya bunduki ni na nani mwenye ubavu wa kupeleka shauri mahakamani wakati CMG nzima ni watu wa kujipendekeza kuanzia management mpaka wafanyakazi?
watu wa Kanda ya Kaskazini wametukumbusha tena kwa mara nyingine namna wanavyojielewa.
Kushindwa kujua kuwa haya yanaweza kumgeuka ni akili za kitoto/utoto“utoto tu”
Nampa pole sana huyu binti maana nshafika Arusha nimtoe out [emoji41][emoji41]View attachment 1975976View attachment 1975977
Mbowe akikutwa na hatia je? adhabu yake ni kifungo cha maisha au kunyongwa?Sabaya Kala 30 huko!!..Mbowe bado kesi iko mahakamani!!..Msaidieni General Sabaya aliyekiri Makosa na kuomba apunguziwe Adhabu kisa ametoa mahali Kwa mtoto wa Mjini (slay queen)
Mimi nazungumzia mwenendo wa kesi inavyoendeshwa sijazungumzia vingineYule aliye jiachia na kutoa maelezo ya uongo na ya kufikirika wakati anahojiwa na Kikeke, alipata wapi hayo mamlaka.
Hivi kuna asiyefahamu kweli kama hii kesi ni ya kupikwa!!
SibishaniEti mwisho wa Tz kwenye international relation, mnajijazaga uongo na ujinga.
Mbona yupo ndani kitambo na international relationship bado ipo
Unasema mahakama ni muhimiri unaojitegemea, hapo hapo unauliza nani wa kupeleka shauri la Makonda mahakamani?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapa ndipo wabongo mnakosea. kuichukulia poa mahakama. who is the so called 'mama' kwa mahakama? mahakama ni muhimili unaojitegemea, full stop. hata huyo 'mama' akijichanganya kuna siku atapanda kizimbani vizuri kabisa.
hajatokea tu wa kumshitaki makonda na hii ni kwa sababu maeneo aliyokuwa anafanya uhalifu wake yamejaa watu wazembe wasiojielewa, sifuti kauli. fikiria clouds alipovamia na mitutu ya bunduki ni na nani mwenye ubavu wa kupeleka shauri mahakamani wakati CMG nzima ni watu wa kujipendekeza kuanzia management mpaka wafanyakazi?
watu wa Kanda ya Kaskazini wametukumbusha tena kwa mara nyingine namna wanavyojielewa.
bado Gaidi namba moja.Hatimaye haki imetendeka twende kwa akina Makonda na wenzao sasa tuje tumalizie na jpm.
Ukisha amua kua upande fulani hata ushahidi huwezi kuukubali,hilo mbona lipo wazi? Au umeamua tu kukaza kichwa?Kwani hizo hukumu huwa zinatolewa bila ushahidi usiotia shaka kukamilika?.Kama mtu kahukumiwa isivyostahili kila mtu ataona na ikitokea kahukumiwa kihalali kila mtu ataona.Hila zipo na haki ipo.Haki haijawai kufichwa labda kucheleweshwa.kwahiyo acha wanaotoa mawazo yao wawe huru haijalishi wanayatoa kwa mtazamo gani.
waulize wapwa mkuuChura ndio nini
Magufuli kumchukua mtuhumiwa wa kufoji kitambulisho cha usalama wa Taifa na kumpa u-DC , aliyoyafanya alitumwa na mamlaka ya uteuzi kama mwenyewe alivyojiteteajamaa ana dharau sana, refer alivyomdharau RC mama Mghwila mbele ya media kbs
Dada saivi nipo hapa Maji ya Chai Meru DC naulizia nyumba ya binti najua ashalipiwa mahari so tunazungumza tu tuyamalize binti hawezi enda EDAHuruma ya nini kwani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Walimuhakikishia Jiwe kuwa atatawala mpaka mauti yatakapomkuta (kama Rais wa China), na walishaanza hiyo kampeni, Wakajibiwa maombi yao na Muumba, ni kweli jiwe katawala hadi mauti yalipomkuta
mahakama haihamasishi wenye mashauri kufungua kesi. hiyo haijalishi kama ni huru au siyo huru.Unasema mahakama ni muhimiri unaojitegemea, hapo hapo unauliza nani wa kupeleka shauri la Makonda mahakamani?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata Simba huwa wanafungwa mara kibao tu na Yanga.....Hata kamba za viatu huwa zinafungwaga tu