Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

kwani mbowe ni nani mbele ya sheria za nchi hii?!
kama Haki imetendeka kwa Sabaya bilashaka itatendeka pia kwa Mbowe.
yaani wafuasi wa mtuhumiwa wa Ugaidi wanataka kutuaminisha kuwa Haki kwa mbowe ni kuachiwa tu sio kufungwa jela!!!
Haki ni Haki tu.
 
siku Mbowe akifungwa kifungo cha maisha pia msisahau kuipongeza mahakama kwa kutenda haki.
 
Mbowe akikutwa na hatia je? adhabu yake ni kifungo cha maisha au kunyongwa?
funzo;
wanasiasa fanyeni siasa za kistaarabu na kutunza amani ya nchi.
leo hii tumeona haki imetolewa kwa sabaya.
bado kwa mbowe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa yule mke wa mwenye duka lililovamiwa ambaye utetezi wake ulipingana na mumeo kwamba sabaya hakufika dukani hapo,ndio miongoni mwa utetezi uliokataliwa.sijui kama ndoa yake ina hali gani
 
Mbowe akikutwa na hatia je? adhabu yake ni kifungo cha maisha au kunyongwa?
funzo;
wanasiasa fanyeni siasa za kistaarabu na kutunza amani ya nchi.
leo hii tumeona haki imetolewa kwa sabaya.
bado kwa mbowe.
Mbowe Mbowe kila mtu ana jua kesi yake ilivyo kuwa na mambo mengi hata kutaja huwezi!!..
 
Mahita na rafiki zake wengine wanafanya mipango ya kukata rufaa ili atoke jela akaoe yule mke zipo njama nyingi ikiwemo ya kumtoa gerezani kumpeleka msumbiji ambapo ataishi huko mpaka miaka yake ya kukaa gerezani imalizike
Sawa tu ,lakini cha muhimu ni hicho kilichofanyika hata wakibadisha au wakimtoa iwe fundisho kwa sisi wote kua cheo ni dhamana
 
Mbowe akikutwa na hatia je? adhabu yake ni kifungo cha maisha au kunyongwa?
funzo;
wanasiasa fanyeni siasa za kistaarabu na kutunza amani ya nchi.
leo hii tumeona haki imetolewa kwa sabaya.
bado kwa mbowe.
Una ongelea Mbowe!!..Sabaya bado ana Kesi nyingine ndio utajua hujui!!!..Hii moja Kala 30 tuna subiri hukumu nyingine Ndugu!!!..
 
Hahahaha Una fahamu wewe peke yako!!...Mnaingilia Mahakama?!...
 
bado Gaidi namba moja.
nalo tunataka kuona lina shughulikiwa kwa mujibu wa sheria.
Sawa tu unajua usijifariji kwa kosa la mtu mwingine.Yaani wewe usilinganishe kosa au maisha ya mtu mwingine kwa sababu tu Sabaya kafungwa.Mbowe kama anakosa na kama hataonewa na ushaidi upo hukumu yake iwe sawa sawa tu.Cha.msingi Sabaya kawatesa sana wasio na hatia ndugu zangu kule Machame aiseee.ule unyama sio wa nchi hii.Kwa Mbowe sijasikia mtu akitoka hadharani na kusema nimenyanganywa Mali,nimepigiliwa msumari mguu,mpaka mbibi analaani kanyangwanywa kiamba.Mahakama ikitenda haki na kama kuna hatia hata Mbowe afanyiwe ya halali yake.Tumeshuhudia Rugemalila naye katendewa haki yake .Kama aliiba aukuiba Mungu ni mkali aisee asikudanganye mtu.Malipo hapahapa duniani.Hatujui.kwa nini Mungu alimeondoa Magu mapema ,kuna watu waliumizwa sana na Vilio vyao vilimfikia
 
wote mnaofurahia msiombe siku moja ukaenda mahakamani na ujua kabisa ukweli huna kosa ila ukaenda na maji ...

duniani hakuna mahakama ni upumbavu mtupu hakuna cha mahakama wala nini ni ujinga + ujinga ...

sibirini ya Mbowe ndio mtajua hamjui
Tulia wewe kitu kigumu kikuingie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…