Labda hapo maana Samia anaonekama kujali sana international image. Una point kubwa hapo!They may need to impress them!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda hapo maana Samia anaonekama kujali sana international image. Una point kubwa hapo!They may need to impress them!
Niliandika kabla ya hukumu mkuu.Miaka 7 au 30 jela? sijakusoma
Nakusalimia kwa jina la Sabaya...Kwa sheria gani bwashee?!
Sikujua na kuwahi kufikiria kama ungelicomment hivyo. Idumu JFAngeliyajua mapema angetoroka nchi maana alikua na madolali ya kutosha.
Hahahaaaa....... Sheria ni msumeno!Nakusalimia kwa jina la Sabaya...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbowe akikutwa na hatia je? adhabu yake ni kifungo cha maisha au kunyongwa?
funzo;
wanasiasa fanyeni siasa za kistaarabu na kutunza amani ya nchi.
leo hii tumeona haki imetolewa kwa sabaya.
bado kwa mbowe.
Mbowe Mbowe kila mtu ana jua kesi yake ilivyo kuwa na mambo mengi hata kutaja huwezi!!..Mbowe akikutwa na hatia je? adhabu yake ni kifungo cha maisha au kunyongwa?
funzo;
wanasiasa fanyeni siasa za kistaarabu na kutunza amani ya nchi.
leo hii tumeona haki imetolewa kwa sabaya.
bado kwa mbowe.
Habari ya hapo ulipo Msema UkweliAtapata si chini ya kifungo cha miaka mi 3 mpaka mi 5 au kulipa faini.
Atalipa faini ambayo haitazidi hata milion 6 then ataachiwa.. kuzuga atakamatwa tena kwa ajili ya mashtaka mapya.
hii case ni ya mkakati.
ni heri ufuatilie ugali wako..
Hukumu yake naifahamu.
Sawa tu ,lakini cha muhimu ni hicho kilichofanyika hata wakibadisha au wakimtoa iwe fundisho kwa sisi wote kua cheo ni dhamanaMahita na rafiki zake wengine wanafanya mipango ya kukata rufaa ili atoke jela akaoe yule mke zipo njama nyingi ikiwemo ya kumtoa gerezani kumpeleka msumbiji ambapo ataishi huko mpaka miaka yake ya kukaa gerezani imalizike
Una ongelea Mbowe!!..Sabaya bado ana Kesi nyingine ndio utajua hujui!!!..Hii moja Kala 30 tuna subiri hukumu nyingine Ndugu!!!..Mbowe akikutwa na hatia je? adhabu yake ni kifungo cha maisha au kunyongwa?
funzo;
wanasiasa fanyeni siasa za kistaarabu na kutunza amani ya nchi.
leo hii tumeona haki imetolewa kwa sabaya.
bado kwa mbowe.
Hahahaha Una fahamu wewe peke yako!!...Mnaingilia Mahakama?!...Tunafahamu kabisa kuwa FREEMAN MBOWE LAZIMA atafungwa ili kuwatisha watu kuendelea kudai katiba MPYA.
Jaji kishapewa maelekezo akiwa anajua au hajui.Mbowe atakapokuwa ndani akitumikia kifungo chake iwe Cha maisha au kunyongwa Moto wa KATIBA MPYA uwe umechochewa.
Sawa tu unajua usijifariji kwa kosa la mtu mwingine.Yaani wewe usilinganishe kosa au maisha ya mtu mwingine kwa sababu tu Sabaya kafungwa.Mbowe kama anakosa na kama hataonewa na ushaidi upo hukumu yake iwe sawa sawa tu.Cha.msingi Sabaya kawatesa sana wasio na hatia ndugu zangu kule Machame aiseee.ule unyama sio wa nchi hii.Kwa Mbowe sijasikia mtu akitoka hadharani na kusema nimenyanganywa Mali,nimepigiliwa msumari mguu,mpaka mbibi analaani kanyangwanywa kiamba.Mahakama ikitenda haki na kama kuna hatia hata Mbowe afanyiwe ya halali yake.Tumeshuhudia Rugemalila naye katendewa haki yake .Kama aliiba aukuiba Mungu ni mkali aisee asikudanganye mtu.Malipo hapahapa duniani.Hatujui.kwa nini Mungu alimeondoa Magu mapema ,kuna watu waliumizwa sana na Vilio vyao vilimfikiabado Gaidi namba moja.
nalo tunataka kuona lina shughulikiwa kwa mujibu wa sheria.
Umeona eeh?Bwashee wewe subiri hukumu uone!
Tulia wewe kitu kigumu kikuingiewote mnaofurahia msiombe siku moja ukaenda mahakamani na ujua kabisa ukweli huna kosa ila ukaenda na maji ...
duniani hakuna mahakama ni upumbavu mtupu hakuna cha mahakama wala nini ni ujinga + ujinga ...
sibirini ya Mbowe ndio mtajua hamjui