Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,030
- 20,391
Tena leo ameingia akiwa anatabasamuDah, mungu wake alifariki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena leo ameingia akiwa anatabasamuDah, mungu wake alifariki
Wacheni kuteseka nyie viumbe, pambaneni na hali yenu.MBOWE AJIANDAE KWA MVUA YA MAANA.
Haiko mbali,hata zile kelele akihukumiwa lupango hazitakuwepo,maana mahakama Sasa zinatenda haki bila kujali cheo.Hukumu ya gaidi lini?
Confirmed kikwelikweli, kama hivyo ni habari njema Kwa wapenda haki wote, ila mbaya Kwa watenda uovu na wapenda kuona uovu ukitendeka. Binafsi ni furaha kwangu Kwa manyanyaso na uonevu uliotenda Kwa wale alioaminu wanatofautiana na itikadi yake ya kisiasa au Ile ya chama chake aliona hawastahili kupata haki yoyote Kwa matendo yake aliyoyafanya dhidi Yao
Ndio maana magufuli alipitisha sheria akistaafu asifunguliwe kesi maana alishajua anachofanya."Mwenzako anaponyolewa, wewe tia maji"-Jiandae ndugu Mbowe
Not true! source of news?Sabaya amehukumiwa miaka 30 jela
Mahakama ya hakimu mkazi Arusha imemuhukumu kwenda jela kwa miaka 30 aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai ole sabaya na wenzake kwa kosa la unyang'anyi kwa kutumia siraha
Hatari SanaKhaa[emoji1787][emoji1787]
Hizi propaganda mmeanza kujiliwaza ili iweje, pambaneni na hali yenu, Sabaya ni shetani hilo halina ubishi, atubu gerezani, km mnataka kubalance mambo poleni."Mwenzako anaponyolewa, wewe tia maji"-Jiandae ndugu Mbowe
Sindao inauma eeh au uoga wa chanjo tuu.Hapo sasa hivi atulie tuli! Huu ndiyo ule muda wake:
View attachment 1975362
Ama kweli malipo ni hapa hapa duniani!
Nasikia DAB baada yakudhulumu watu Haki ya kuishi anawaza kufungua KanisaHivi si ana kesi nyingine tena Kilimanjaro? Tuna la KUJIFUNZA hapa katika uongozi.
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wamehukumia na Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha.