Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah! From DC to Prisoner,Hukumu ya kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha inayomkabili aliyekua Mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya inasomwa muda huu katika mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha.
Akisoma maelezo ya awali Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, Odira Amworo amesema kati ya mashahidi 11 wa upande wa mashtaka waliotoa ushahidi wao, ambapo ushahidi wa watu 9 umeonekana una mashiko na ushahidi wa watu wawili umetupwa.
Hakimu Amworo amesema kuwa mahakama imejiridhisha kuwa siku ya tukio February 9 mwaka 2021 washtakiwa wote watatu walikua dukani kwa Saad na wote walishiriki kufanya unyang'anyi wa kutumia silaha, kabla ya kumpiga Saad na kumsabanishia majeraha, wakitaka wapewe TZS 100M au mfanyabiashara huyo apewe kesi ya uhujumu uchumi.
Hakimu anasema kwa mujibu wa kifungu cha 201 cha sheria ya makosa ya adhabu, mtu yeyote anayepatikana na hatia ya kutumia silaha kunyang'anya mali ya mtu mwingine, adhabu yake ni kifungo cha miaka 30 jela pamoja na viboko 12 au miaka 30 bila viboko.
Baada ya kusema hayo Sabaya alianguka na kudaiwa kuzimia, hali iliyofanya Hakimu kuahirisha kusoma hukumu hiyo kwa dakika 5. Baadae Sabaya alizinduka na hukumu ikaendelea kusomwa.
Kabla hajataja adhabu, Hakimu amewapa washtakiwa nafasi kujitetea kwa mara ya mwisho, ambapo Sabaya ameomba apunguziwe adhabu kwa sababu anaye mchumba ambaye ameshamtolea mahari na hivyo akihukumiwa miaka mingi atashindwa kumuoa.
Hukumu inaendelea kusomwa. Letz keep waiting.!View attachment 1975366
Yaani na tittle wamebadilisha. Hiki kijiwe kilishatekwa siku nyingi. Na doubt usalama......Ngoja niishie hapa.JF wanachelewa sana kutoa updates.
Mbinu zozote ovu, zifichuliwe Kwa maslahi mapana ya Taifa pendwa Tanzania, Kwa taifa hili ni la Wantanzania wote.Mahita rafiki yake mkubwa waliokuwa wakishirikiana kuwatesa chadema huko Kilimanjaro ameshikwa na simanzi kubwa na sasa yupo mbioni kusuka Mipango Sabaya atolewe jela akajifiche msumbiji
Mahakama imetenda haki ee?Mahita rafiki yake mkubwa waliokuwa wakishirikiana kuwatesa chadema huko Kilimanjaro ameshikwa na simanzi kubwa na sasa yupo mbioni kusuka Mipango Sabaya atolewe jela akajifiche msumbiji
Kuna kitu kibaya kinakuja............... CJ ana maelekezo kamili...Kesi inakoelemea si kunaonekana mkuu.
Kesi ya Mbowe inafuatiliwa. Kwamba Jaji kapandishwa cheo akielekea kutoa hukumu ya pingamizi 19/10, nani asiyejua?
Kwamba mawaidha ya Jaji mkuu kwa majaji ni kutoa hukumu zenye kuzingatia mwelekeo wa serikali, nani hakusikia?
Nani alisema nini mahakamani nini kisichojulikana?
Patiently yetu ni subira. 19/10 kwani ni mbali?
Kwani kimya kingi kiliacha kuwa na mshindo mkuu?
Sasa tusisikie mahakama haitendi haki kwa gaidiMungu amjalie mh hakimu kwa kutenda haki. Sabaya hata Lumumba mumteeje alikwa na roho ya shetani hata kama alikuwa anatumwa alitakiwa achanganye na za kwake.
HukuionaMaelezo tu clip iko wapi..?
Take a note from this post/thread, hukumu hii kuna kitu inataka kuhalalisha. Watamfunga Mbowe!
Then baadaye Sabaya will be pardoned!
Nasikia DAB baada yakudhulumu watu Haki ya kuishi anawaza kufungua Kanisa
Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo kwa sabaya mahakama inatenda haki ila kwa mbowe anaonewa?Kiturilo asubiri kesi anayoshadadia aone inavyogeukia Kwa wale wa PGO. Na mwisho nao wale mvua za kuwatosha.
Mbowe hafungwi hakuna ugaidi wowote kafanya
Ndo maana yakeHukuiona
Moses Mahuna ni Mwanasheria wake? Nieleweshe kama hutojali...
Hata kwa kipofu Mbowe hana hatia, ila washenzi watalazimisha. Nchi ya kifashist ajabu kabisaTofauti kubwa ni kwamba Mbowe hana hatia hakuna ushahidi wa kumfunga.
Huyo boya heri yeye anamchumba,aliowaibia kinguvu wana wake,watoto...yeye mchumba tu analialiaHukumu ya kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha inayomkabili aliyekua Mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya inasomwa muda huu katika mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha.