Lengo la kuanzisha hifadhi ya Burigi - Chato lilikuwa ni nini?

1. Kuongeza vyanzo vya kuvutia watalii
2. Kuwalinda wanyama walioko kule ili wasimalizwe na wawindaji haramu
3. Kutengeneza ajira kwa vijana wetu.
4. Kufungua utalii kwenye kanda ya magharibi
Nadhani hizo kwa kiwango chako cha chini zinakutosha.
 
Kuongeza mapato ya serikali na kukuza biashara kwa ukanda ambapo Hifadhi hiyo ipo
 
Haijabadishwa jina ila ameongeza neno chato mbele .trust me watu wa biharamulo wanaona wameporwa hifadhi yao
Wameporwa kabisa na siku wamepanga kuamdamana kuna kikosi kiliratibu kufanya usafi mitaani siku hiyohiyo😅.
 
Haijabadishwa jina ila ameongeza neno chato mbele .trust me watu wa biharamulo wanaona wameporwa hifadhi yao
Tatizo ukikumbuka hata mbio zake za kisiasa jamaa Biharamulo wakati ni Jimbo walimkataa kabisa I guess it was 1990.

Mjinga sana ana visasi na hiyo sio tabia ya mtanzania huyu lazima yanayosemwa ni kweli maana hata babake hatujui alizikwa wapi.
 
Lengo lilikuwa

1. 'kama kuna hifadhi Moshi na Arusha why not Chato'?
2. Kama hifadhi ndio zinawatia kiburi hawa ma mangi subiri sasa tuone, ngoja na sisi tuwe nazo.

Ujinga mtupu!
Jamaa lilikuwa psycho Ila Mungu ametuepusha aisee watanzania hatukuwa watu wa kutendewa namna hiyo ndio maana likasepeshwa
 
1. Kuongeza vyanzo vya kuvutia watalii
2. Kuwalinda wanyama walioko kule ili wasimalizwe na wawindaji haramu
3. Kutengeneza ajira kwa vijana wetu.
4. Kufungua utalii kwenye kanda ya magharibi
Nadhani hizo kwa kiwango chako cha chini zinakutosha.
Ahsante sana wa kiwango cha juu.
 
Kwani si tulikubaliana kwamba chato ni kitovu cha utalii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…