Lengo la kuwa na saving ya milioni 20 ifikapo mwaka 2022 mwezi Oktoba

Bado miezi 3 tu vipi mwanetu umefikia wapi?
 
Haya mawazo ya mzee ambaye hana nguvu za kufikiri wala kufanya kazi. Achana na millioni 100 kutengeneza 800k.
Kwa kijana mwenye nguvu za mwili na uwezo wa kufikiri vzri ukiwa na tsh mill 10 unaweza kutengeneza 1M net profit!
Kumbuka huyo anayelipwa 800k kila mwezi ni profit guaranteed, hata itokee nini kisheria lazima laki 8 yake ilipwe mpaka mkataba utakapoisha na millioni 100 zake atarudhishiwa

Wewe na millioni 10 yako ukianzisha biashara itahitaji usimamizi wako 100% ndo upate profit 1M (japo sijui umezungumzja biashara gani). Ukiumwa, ukisafiri au kwa namna yoyote ile biashara ikakosa usimamizi mzuri basi huwezi fikisha lengo lako

Ukifanya biashara mwenyewe kuna 50/50 upate faida au hasara. Bond haina hasara ni 100% profit(japo faida yaweza kuwa kubwa au ndogo inategemea na kiasi ulichoweka)

Pia, kama umemuelewa vizuri mchangiaji hapo juu ametoa mfano mzuri kabisa wa mzee aliyestaafu. Alimaanisha basi kusema hivyo:-
1. Wazee hawana nguvu za kusimamia biashara kama walivyo vijana, hivyo basi itakosa usimamiz mzudi UNLESS hiyo biashara alianzisha tangu zamani (akiwa mdogo au kijana) hivyo biashara yake inaweza kujisimamia
2. Wazee hawataki purukushani nyingi

NOTE :
Uliyoyasema ni sahihi na sijakupinga nimejaribu tu kufanya comparison kati ya kijana atakayeanzisha business yake kwa 10M na mzee atakayenunua Bonds kwa 100M

Uwe na jioni njema

Nawasilisha,
 
Savers are losers

1. Sasa hivi Vitu vimepanda Bei mara 100% toka uzi wako Uweke

2. Hela ulizotunza Zishashuka Thamani yake

3. Bati Na Cement vimepanda Bei

4. Mafuta Yamepanda Bei


Mil 20 ya Kipindi unaweka uzi ni mil 17-18 sasa hivi
Very true bora awe ananunua hata Viwanja kuliko kuweka hela tuu
 
V iCOBS Ni sehemu Tulivu ya kutunza pesa zako na kufanya maendeleo
 
Una mawazo ya kimasikini sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…