Lengo la Makonda kuvaa koti linalofanana na Jeshi ni lipi hasa?

Muite

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
2,971
Reaction score
6,607

Tunaambiwa ni kosa mtu kuvaa magwanda yenye mfanano na yale ya majeshi yetu.

Je, kitendo cha Makonda kuvaa kule Chuga lile jacket ni sahihi? Je, na mimi mwananchi wa kawaida nikipata kama lile nivae tu au mimi siruhusiwi?

Je, Makonda kuvaa vile ana lengo gani au anataka kufikisha ujumbe gani kwa jamii.
 
Tupia picha basi, kuna wengine hatukuona
 
Labda kwanza unatakiwa ufahamu yeye ni Mkuu wa Mkoa ambaye ni mwenyekiti wa Kamati ya Usalama ya Mkoa..
 
Eti ccm ndo wanamtegemea baada ya samia 2030 ndo awe raisi. ndo Wana uhakika wa kulinda maufisadi yao, kwa akutumia udiktera kama wa mwendazake.
pia eti atawapatia kura nyingi kutoka ile Kanda

Hizo ni hesabu wanazopiga think tank wa ccm kuelekea 2030- by Magamba Matatu
 
Anatuma ujumbe kwa makamada wa pipoozi wakiwa kwenye gwanda za polisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…