Lengo la Makonda kuvaa koti linalofanana na Jeshi ni lipi hasa?

Lengo la Makonda kuvaa koti linalofanana na Jeshi ni lipi hasa?

Jamaa anajua propaganda si mchezo.
Ama kweli Makonda ni mwanasiasa halisi.
 
Mkuu wa Wilaya naye anaruhusiwa kuvaa??
Kwani RC ameruhisiwa?

Ni kwamba akitaka anaweza kuvaa hata full combat, hata DC anaweza kuvaa tu..... ni wenyeviti KUU hao.
 

Tunaambiwa ni kosa mtu kuvaa magwanda yenye mfanano na yale ya majeshi yetu.

Je, kitendo cha Makonda kuvaa kule Chuga lile jacket ni sahihi? Je, na mimi mwananchi wa kawaida nikipata kama lile nivae tu au mimi siruhusiwi?

Je, Makonda kuvaa vile ana lengo gani au anataka kufikisha ujumbe gani kwa jamii.
Solving people problems bila camera ni baraka kubwa sana ,chukueni hio
 
Back
Top Bottom