Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Kweli Makonda content kila afanyalo ni story iwe mbaya au nzuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo wewe umemuaga mkeo na mama mkwe wako ili uje kutuletea hoja hii mtu kuvaa koti?
Tunaambiwa ni kosa mtu kuvaa magwanda yenye mfanano na yale ya majeshi yetu.
Je, kitendo cha Makonda kuvaa kule Chuga lile jacket ni sahihi? Je, na mimi mwananchi wa kawaida nikipata kama lile nivae tu au mimi siruhusiwi?
Je, Makonda kuvaa vile ana lengo gani au anataka kufikisha ujumbe gani kwa jamii.
Bora tope kuliko wewe kichwa kimejaa ushu----Kwahiyo wewe umemuaga mkeo na mama mkwe wako ili uje kutuletea hoja hii mtu kuvaa koti?
Nyie vijana wa Nape mna tope vichwani.
Huyo ni Mwenyekiti wa ulinzi na usalama sio mwenzako!Ni utoto na ushamba tu unasumbua!
Yani tofauti kabisaa na sijaona ubaya wowote, japo ni kweli kuna majeshi yanatumia combat yenye mfanano kiasi na hilo mfano jeshi la ukombozi la watu wa china (PLA)Kwanza hilo koti sio sare ya jeshi la wananchi JWTZ
Point yako ni nini hasa?Labda kwanza unatakiwa ufahamu yeye ni Mkuu wa Mkoa ambaye ni mwenyekiti wa Kamati ya Usalama ya Mkoa..
Ni very rare mtu hasa Tanzania kuchaguliwa position ya mkuu wa mkoa kama sio kitengo.!