Lengo la Makonda kuvaa koti linalofanana na Jeshi ni lipi hasa?

Tunaambiwa ni kosa mtu kuvaa magwanda yenye mfanano na yale ya majeshi yetu.

Je, kitendo cha Makonda kuvaa kule Chuga lile jacket ni sahihi? Je, na mimi mwananchi wa kawaida nikipata kama lile nivae tu au mimi siruhusiwi?

Je, Makonda kuvaa vile ana lengo gani au anataka kufikisha ujumbe gani kwa jamii.
Anajua SIRI zao zote, nani wakumgusa..??!! Ndomana anajeuri yakuongea chochote, but siku ya Mungu inakuja, watakimbia wakati hakuna awakimbizaye...
 
Tunaambiwa ni kosa mtu kuvaa magwanda yenye mfanano na yale ya majeshi yetu.

Je, kitendo cha Makonda kuvaa kule Chuga lile jacket ni sahihi? Je, na mimi mwananchi wa kawaida nikipata kama lile nivae tu au mimi siruhusiwi?

Je, Makonda kuvaa vile ana lengo gani au anataka kufikisha ujumbe gani kwa jamii.
HUYU NI AMIRI JESHI WA ARUSHA
 
Nia na madhumuni ni kutaka tumjadili bashite ili aendelee kutrend. Stupid tu.
 
Tupunguze chuki wakuu...jamaa kila akifanya kitu watu wanaponda
 
Yeye ndiye rais wa mkoa kama angekuwa amevaa kombati mkoa ambao sio wake kiongozi tungeweza kujadili.
 
Back
Top Bottom