Lengo la Makonda kuvaa koti linalofanana na Jeshi ni lipi hasa?

Katika vikosi vyooote sare zinazoongoza kughushiwa ni hizo za jeshi hilo, sijawahi kuona sare za Polisi ama Uhamiaji zikivaliwa hovyo.

Sijui ndo zinapendwa au zinachukuliwa poa?
 
Kwahiyo wewe umemuaga mkeo na mama mkwe wako ili uje kutuletea hoja hii mtu kuvaa koti?

Nyie vijana wa Nape mna tope vichwani.
 
Hiyo Siyo rangi ya jeshi la kikoloni (jwtz), labda kama ni rangi ya jeshi la nchi nyingine
 
Kwahiyo wewe umemuaga mkeo na mama mkwe wako ili uje kutuletea hoja hii mtu kuvaa koti?

Nyie vijana wa Nape mna tope vichwani.
Bora tope kuliko wewe kichwa kimejaa ushu----
 
Mbona hilo koti unalozungumzia ni la kitenge mkuu. Halina hata mfanano na nguo ya jeshi.
 
Huyo jamaa maafande yote ya mkoa wa Arusha yapo chini yake! huyo sio mwenzako usimchukulie poa.
 
Ila Makonda ni kiongozi ambaye anapenda sana sifa binafsi, anaamini ktk kujipandisha chat (umaarufu) yeye binafsi badala ya taasisi anayoiongoza.
Tungekuwa na mfumo mzuri wa kupata viongozi huyu jamaa asingefika hapo alikofika!.
 
Kila Kiongozi Mkuu wa Mkoa,Wilaya hao ni watu wa USALAMA ni wenyekiti na viongozi wa USALAMA, MKOA/WILAYA.

Shida mnahisi Mkuu wa Mkoa/wilaya ni cheo kama cha mjumbe wa nyumba 10.

Mamlaka walio nayo ukiyajua unaweza usitamani vyeo unavyovionaga vya maana sema basi tu.
 
ushahidi wamambo ya lisu ,jeshi ccm makonda anatakiwa avae nguo ya jeshi anaruhusiwa lakini sio inayofanana na jeshiletu
 
Ni very rare mtu hasa Tanzania kuchaguliwa position ya mkuu wa mkoa kama sio kitengo.!
Ni very rare!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…