Lengo la Makonda kuvaa koti linalofanana na Jeshi ni lipi hasa?

Jamaa anajua propaganda si mchezo.
Ama kweli Makonda ni mwanasiasa halisi.
 
Mkuu wa Wilaya naye anaruhusiwa kuvaa??
Kwani RC ameruhisiwa?

Ni kwamba akitaka anaweza kuvaa hata full combat, hata DC anaweza kuvaa tu..... ni wenyeviti KUU hao.
 
Ni mwenyekti wa ulinzi na usalama kimkoa...

Hapo ni kama yupo lindoni...


Cc: Mahondaw
 
Solving people problems bila camera ni baraka kubwa sana ,chukueni hio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…