Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Ni jambo jema watu kufanya ibada na kumkumbuka mungu wetu anayetupa pumzi na kila lililojema.
Labda walienda kusikiliza waraka kam utasomwaHii kusinzia ibadani wangeweza kuponyokwa na kijambo. Kama walisali kwa roho na kweli Mungu atawarehemu na kama walienda kinafiki watajaza kikombe cha ghadhabu ya Mungu
HIvyo tuseme bado zinaangaziwa target zingine kwenye njia iliyoamuliwa kufuatwa ama?Ni jambo jema watu kufanya ibada na kumkumbuka mungu wetu anayetupa pumzi na kila lililojema.
.