Leo Askari kanzu wengi wamefanya Ibada bila kusinzia

Sigonella Island

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
13,484
Reaction score
40,858
Ni jambo jema watu kufanya ibada na kumkumbuka mungu wetu anayetupa pumzi na kila lililojema.
 
Hii kusinzia ibadani wangeweza kuponyokwa na kijambo. Kama walisali kwa roho na kweli Mungu atawarehemu na kama walienda kinafiki watajaza kikombe cha ghadhabu ya Mungu
 
Hii kusinzia ibadani wangeweza kuponyokwa na kijambo. Kama walisali kwa roho na kweli Mungu atawarehemu na kama walienda kinafiki watajaza kikombe cha ghadhabu ya Mungu
Labda walienda kusikiliza waraka kam utasomwa
 
Ni jambo jema watu kufanya ibada na kumkumbuka mungu wetu anayetupa pumzi na kila lililojema.
HIvyo tuseme bado zinaangaziwa target zingine kwenye njia iliyoamuliwa kufuatwa ama?
 
Mnabinuka na kuinuka kama kawaida yenu.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…