Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Sijui tatizo nini wadada wa mjini bongo wanalo...aiseehhh!!hata mtu unaemuona wa maana nae anakua mswahili mswahili kuendeleza vitaa..
Ishu ilianza miss Tanzania baada ya wolper kuliponda hadharani gari la zawadi ya mshindiwa shindano hilo la 2018 kitendo kile Basila hakufurahishwa nacho toka hapo pamekua na vita ya maneno kati yao.
Leo Basila kamponda live wolper japo hajamtaja jina kua eti sio designer bali anakopy na kupaste vya Rihanna na designers wengine wa nje ya nchi badala yake awe mbunifu aache kuiga
Wolper nae kampiga dongo Basila
Wanawake sisi tuna shida sana sijui kwa nini hatupendani tunapenda kukuza vitu vidogo vikawa vikubwaaa