Leo Basila kamponda live Wolper japo hajamtaja jina

Leo Basila kamponda live Wolper japo hajamtaja jina

Raynavero

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2014
Posts
38,378
Reaction score
56,047
Sijui tatizo nini wadada wa mjini bongo wanalo...aiseehhh!!hata mtu unaemuona wa maana nae anakua mswahili mswahili kuendeleza vitaa..

Ishu ilianza miss Tanzania baada ya wolper kuliponda hadharani gari la zawadi ya mshindiwa shindano hilo la 2018 kitendo kile Basila hakufurahishwa nacho toka hapo pamekua na vita ya maneno kati yao.

Leo Basila kamponda live wolper japo hajamtaja jina kua eti sio designer bali anakopy na kupaste vya Rihanna na designers wengine wa nje ya nchi badala yake awe mbunifu aache kuiga

Wolper nae kampiga dongo Basila

Wanawake sisi tuna shida sana sijui kwa nini hatupendani tunapenda kukuza vitu vidogo vikawa vikubwaaa
 
Kuweka picha ,huoni hapo ukiniqoute kuna kibox halaf juu kuna maneno kama Phots,file,videos,unabonyeza hapo halaf itakupeleka kwenye gallery yako hebu jaribu ufanye
Hizo hapooo
Screenshot_20180927-093815.jpg
Screenshot_20180927-094052.jpg
Screenshot_20180927-094056.jpg
Screenshot_20180927-094101.jpg
 
Duu maskini, yalimuuma dada wa watu siku zote kakaa kimya leo kaamua amjibu kwa angle nyingine
 
Huu ugomvi kaanza huyu muandaaji miss TZ baada ya jembenijembe kumuweka wolper judge miss mwanza sijui kanda ya ziwa akasema hana qualification (???) na kuponda ile zawadi ya spare tire
Ndio maana hata miss TZ ilipotoa gari ndogo wolper akarusha dongo nahisi bibie kilimuuma ndio kutafuta sababu ya nguo za wolper
Kusema kweli Basila anajishusha hadhi kubishana na hao bongo movie yaani anajishusha na ataenda kudharaulika
 
Nadhani miss tz inarudi kuwa kichaka cha kudanga maana imempata kichaa mwingine asiye na akili. Miss tz imekosa mdhamini na bado vyuma vinakaza mpaka sidiria yaani mpaka mtu awe sarcatic pure.

Basila nasema hivi angalia sana isije ikakufia miss tz mikononi mwako
 
Back
Top Bottom