Leo dola moja ni sawa na 2290. Kweli uchumi unakuwa

Jamani mimi upande wangu mbona nahisi kufikia hapo 2290 inaonekana uchumi wetu umesimama vizur heshima ya shilling yetu inaonekana kuwa na thamani. Na mungu atuongoze izidi kupanda ili iwe na thamani zaidi hata ya wakenya
 
R ate ya leo Nmb usd 50,100 na kuendelea ni Tsh 2251 na kuuza ni Tshs 2339,crdb wezi tu na bureau de change zote wezi
 
Jamani mimi upande wangu mbona nahisi kufikia hapo 2290 inaonekana uchumi wetu umesimama vizur heshima ya shilling yetu inaonekana kuwa na thamani. Na mungu atuongoze izidi kupanda ili iwe na thamani zaidi hata ya wakenya
Shenziiiiiiii
 
Kwa wanaofanya miamala mtandaoni

- Rate kwa muda huu 07:15am [14.12.2018]
- Ni US $1 = TZS 2,394.08 [ Iwapo utatumia card direct ]
 
Account ya dola ni gharama sana kuifungua na kuiendesha, mi ningemshauri anunuwe dola kutunza nyumbani kwake
- Kwa baadhi ya benki hakuna ghalama ya uendeshaji kwa acount ya USD
- Mafno kama umeweka USD 1000, kiasi utakachotoa ni hicho hicho USD 1000. Hakuna makato.
- Ni jukumu lako kutauta benki sahihi kwa ajiri ya kuhifadhi fedha yako.
 
Mfano bank gani?
 
Update

Paypal rate
$1 = TZS 2,399

Amazon rate
$1 = TZS 2,463.4 ( Ongezeko la TZS 3 ukilingamisha na update ya awali )

Aliexpress rate
$1 = TZS 2,403.519480519481

Hizi ni rate kutokana na miamala niliyofanya asubuhi hii.
 
Sikubaliani na wewe hata kidogo noti za dola zinabadilika mara kwa mara mkuu
Ufumbuzi ni kutunza USD katika account maalum, isiyo na makato ya kila mwezi.

Ambapo kipibdi unaitoa fedha yako utapewa kwa rate itakayokuwepo kwa wakati huo.
 
Stanbic Bank Wapo vizuri..hawana makato ila kianzia lazima iwe dollar 300
 
Ufumbuzi ni kutunza USD katika account maalum, isiyo na makato ya kila mwezi.

Ambapo kipibdi unaitoa fedha yako utapewa kwa rate itakayokuwepo kwa wakati huo.
Ni kweli kabisa..kama una bulk ya pesa ambayo haina matumizi ya haraka ni bora kuiweka kwenye account ya Dollar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…