Leo dola moja ni sawa na 2290. Kweli uchumi unakuwa

Kwa watumiaji wa PayPal

Rate kwa sasa ni

$1 = TZS 2,405.2
 
Update kwa wanaofanya miamala mtandaoni.

Rate ya leo [ 16:55Hr ]
$1 = TZS. 2,417.4


Iwapo muamala utafanyika kwa kutumia EUR rate ni hii
€ 1 = TZS. 2,729.9017

 
Kwa manunuzi AMAZON

Rate 1 USD = 2,476.11 TZS
 

Muda huu kwa ambao wanafanya manunuzi kwa Paypal

Rate ni $1 = TZS. 2,436.433333333333
 
Nilishayasema haya siku ikifika 2600 ndio watashtuka na kutia Akili[emoji1321]‍♂️
 
Muda huu: 05:07am
Mtandao: Aliexpress
Rate: $1 = TZS. ‭2,539.767616191904‬
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…