billionea alpha
JF-Expert Member
- Apr 10, 2014
- 1,443
- 1,656
Mkeka wa kwanza tuu,ushafeli vibaya ...Ikiwa ligi kuu ya uingereza inaanza leo kaa karibu yangu niweze kukubashiria matokeo sahihi ya weekend hii! Kwa kuanza Arsenal anakufa 2-1.
Chelsea anadraw 1-1
Liverpool anashinda 3-1
Spurs anashinda 4-0
Newcastle anashinda 2-1
Aston villa anadraw 0-0
Leeds anadraw 2-2
Westham anashinda 1-0
Man utd anakufa 2-1
Brentford anadraw 1-1
Karibuni! Thank me later!