FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Leo najivika rasmi joho la upinzani, tena, naanza kujifikiria kama chadema.
Tuchukulie imetimia 2025 Kama mwanachadema ambae nagombea ubunge au hata Urais, nafikiri sera zangu zitakuwa nini?
1) Nchi imeuzwa.
Wapiga kura wakitazama wanaona nchi ipo mipaka ile ile tena Bashe huko CCM BBT imeanza kuzaa matunda na imeshaongeza vituo mikoa yote! Dah, itakuwaje?
2) Bandari zimeuzwa.
Wapigakura wakitazama, wanaona DP World wamefunga mitambo mipya, zaidi ya nusu ya bajeti ya Tanzania inatokea bandarini. Dah, ntasemaje hapo?
3) Huyu mama msimchaguwe ana akili za "matope" - kwa sauti ya Tundu Lissu.
Wapiga kura wakitazama kila mahali mambo mazuri, mishahara inaongezwa, madarasa mapya kibao, walimu kibao, maji kedekede, umeme ndiyo usiseme , bwawa la nyerere kinatema tu umeme.
Dah, wakitazma Usafiri, SGR ndiyo inapamba moto, mtua anaishi Morogoro anafanya kazi Dar na anawahi kwenda na kurudi kazini.
Nisaidieni jamani, ntawaambia nini wananchi? Wanipe kura zao?