Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haiwezi kuwa na soko kwa wezi na wajinga.Aha sawa ila sifikili kama CHADEMA ina soko tena nje ya jf
Haiwezi kuwa na soko kwa wezi na wajinga.
Unaangalia unaona katibaa haijafanyiwa marekebishoLeo najivika rasmi joho la upinzani, tena, naanza kujifikiria kama chadema.
Tuchukulie imetimia 2025 Kama mwanachadema ambae nagombea ubunge au hata Urais, nafikiri sera zangu zitakuwa nini?
1) Nchi imeuzwa.
Wapiga kura wakitazama wanaona nchi ipo mipaka ile ile tena Bashe huko CCM BBT imeanza kuzaa matunda na imeshaongeza vituo mikoa yote! Dah, itakuwaje?
2) Bandari zimeuzwa.
Wapigakura wakitazama, wanaona DP World wamefunga mitambo mipya, zaidi ya nusu ya bajeti ya Tanzania inatokea bandarini. Dah, ntasemaje hapo?
3) Huyu mama msimchaguwe ana akili za "matope" - kwa sauti ya Tundu Lissu.
Wapiga kura wakitazama kila mahali mambo mazuri, mishahara inaongezwa, madarasa mapya kibao, walimu kibao, maji kedekede, umeme ndiyo usiseme , bwawa la nyerere kinatema tu umeme.
Dah, wakitazma Usafiri, SGR ndiyo inapamba moto, mtua anaishi Morogoro anafanya kazi Dar na anawahi kwenda na kurudi kazini.
Nisaidieni jamani, ntawaambia nini wananchi? Wanipe kura zao?
Wakiongozw na chadema
sasa ya DP World imebuma, mama katia pamba masikioni, hataki mtu apigwe hata kofi, wakitutaka polisi wanatutumia barua kisheria, kama Ulaya.Chadema hawakosi sababu na hoja,watanzisha dowans,wakati chadomo wanamajumba dubei ,huku wajinga wakiwatukuza "we call it politics busines " principle one ni lazima ukosoe hats lililo la kweli, utetee wanyonge kinafiki maana hawa ndio mtaji mkuu na chakula ya wanachadomo!.
Hii ndio bajeti ya kwanza zingine zote zilikua nini,hao wahisani nyie mnawasaidia bei gani kwenye bajet zao?Dah, bajeti inasema vinginevyo kabisa na unavyosema wewe.
Tena wahisani wa bajeti wala CCM hawawahitaji 2025, mipesa yote inakuja kutoka bandari na SGR.
Swali la msingi na hoja yenye mashiko.Hii ndio bajeti ya kwanza zingine zote zilikua nini,hao wahisani nyie mnawasaidia bei gani kwenye bajet zao?
Hii mipesa ya bandari ilikuwa wapi kwani bandali imeamza kazi leo au likuwa imefungwa itafunguliwa wakija DPW?
Sasa sisi chadema, usisahau, hapo mimi ni kiongozi wa chadema. Natafuta cha kuwaambia wananchi wanipe kura.Hii ndio bajeti ya kwanza zingine zote zilikua nini,hao wahisani nyie mnawasaidia bei gani kwenye bajet zao?
Hii mipesa ya bandari ilikuwa wapi kwani bandali imeamza kazi leo au likuwa imefungwa itafunguliwa wakija DPW?
Chadema wapo kama hawatumii akili vile wapo wapo tuIla wanaoumiza Watanzania kwa makusdudi ili watawale milele na familia zao wanastahili kuabudiwa siyo.
Kuhusu barabara na shule mama apewe maua yakeHili limama la Kizanzinabari litafanya kila njia
Sawa mmenisikia, maana nikifikiria barabara, naona bajeti ya mwaka huu hakuna kijiji kimekosa japo barabara ya changarrawe, sasa mpaka 2025 ntawaambia nini wananchi wanipe kura zao?
Acha udini na ikabila tuko karne ya 21Leo najivika rasmi joho la upinzani, tena, naanza kujifikiria kama chadema.
Tuchukulie imetimia 2025 Kama mwanachadema ambae nagombea ubunge au hata Urais, nafikiri sera zangu zitakuwa nini?
1) Nchi imeuzwa.
Wapiga kura wakitazama wanaona nchi ipo mipaka ile ile tena Bashe huko CCM BBT imeanza kuzaa matunda na imeshaongeza vituo mikoa yote! Dah, itakuwaje?
2) Bandari zimeuzwa.
Wapigakura wakitazama, wanaona DP World wamefunga mitambo mipya, zaidi ya nusu ya bajeti ya Tanzania inatokea bandarini. Dah, ntasemaje hapo?
3) Huyu mama msimchaguwe ana akili za "matope" - kwa sauti ya Tundu Lissu.
Wapiga kura wakitazama kila mahali mambo mazuri, mishahara inaongezwa, madarasa mapya kibao, walimu kibao, maji kedekede, umeme ndiyo usiseme , bwawa la nyerere kinatema tu umeme.
Dah, wakitazma Usafiri, SGR ndiyo inapamba moto, mtua anaishi Morogoro anafanya kazi Dar na anawahi kwenda na kurudi kazini.
Nisaidieni jamani, ntawaambia nini wananchi? Wanipe kura zao?
Mpaka umeandika hapa: kimeumana.Leo najivika rasmi joho la upinzani, tena, naanza kujifikiria kama chadema.
Tuchukulie imetimia 2025 Kama mwanachadema ambae nagombea ubunge au hata Urais, nafikiri sera zangu zitakuwa nini?
1) Nchi imeuzwa.
Wapiga kura wakitazama wanaona nchi ipo mipaka ile ile tena Bashe huko CCM BBT imeanza kuzaa matunda na imeshaongeza vituo mikoa yote! Dah, itakuwaje?
2) Bandari zimeuzwa.
Wapigakura wakitazama, wanaona DP World wamefunga mitambo mipya, zaidi ya nusu ya bajeti ya Tanzania inatokea bandarini. Dah, ntasemaje hapo?
3) Huyu mama msimchaguwe ana akili za "matope" - kwa sauti ya Tundu Lissu.
Wapiga kura wakitazama kila mahali mambo mazuri, mishahara inaongezwa, madarasa mapya kibao, walimu kibao, maji kedekede, umeme ndiyo usiseme , bwawa la nyerere kinatema tu umeme.
Dah, wakitazma Usafiri, SGR ndiyo inapamba moto, mtua anaishi Morogoro anafanya kazi Dar na anawahi kwenda na kurudi kazini.
Nisaidieni jamani, ntawaambia nini wananchi? Wanipe kura zao?
Hamna shida siku wakibahatika kushika madaraka ndipo utajua kuwa je wana akili au la,lakini sasa hivi unalaumu usichokijua.Na nikuambie sehemu yoyote ambaye wamewahi kuwa na mbunge au diwani wa chadema wana maisha mazuri kuliko sehemu zile ambazo tangu uhuru ni ccm tu wametawala.Chadema wapo kama hawatumii akili vile wapo wapo tu