FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
- Thread starter
- #21
Wewe chukulia hapo ndiyo mwenye akili kuliko wotw chadema, ndiyo Lissu sasa nagimbea nawaambia nini Watanzania wanipe kura zao?Ahhaha wewe ukienda kugombea kwa tiket ta CHADEMA unaonekana ziro kichwani
Nawaambia banadari imeuzwa, wakitazama DP World anashusha kontena kama hawana akili vizri, wakitazama nangani kule hakuna meli zimetia nanga.
Wakitazama bandarini, huku kwa abiria meli zinashusha magari ya kuwapeleka mbugani watalii yameshonana kama mia ytano hivi, maanake yale ya le mameli ya kutembeza watali yanapakia si mchezo.