Leo FaizaFoxy najivika rasmi joho la upinzani tena CHADEMA

Duh! Ndo maana mbowe hatoki madarani kwasabu mnamtukuza Kama ndo mwenye akili kuliko wote, hii imesababisa akina lisu wa frustrate wapo wapo tu as if wanafukuza kuku, kwasasa akili ya mdude na lisu zipo sawa hawana tofauti.
Tena tunafanya maandamano mpaka chuo kikuu wampe mwenyekiti PhD.
 
Kinacho nisikitisha sana huyu ni mwalimu wa dini fulani humu JF na wafuasi wake wanamwamini 🚮🚮🚮
 
Tena tunafanya maandamano mpaka chuo kikuu wampe mwenyekiti PhD.
mm najua Mwenyekiti anataka hela tu apige basi , amefanya chama Kama Mali ya ukoo wake Kama alivyo rithishwa anataka naye aje arithishe mtu, mbona kofia ya PhD itagoma
 
Hakuna mpinzani mwenye akili mbovu kiasi hiki....tafuta joho size yako
Wewe bwana, sasa tuwaambie nini wananchi?
Labda tuwaambie sisi maliberali, upinde ruksa kuanzia chekechea mpaka uzeeni.
 
Leo najivika rasmi joho la upinzani, tena, naanza kujifikiria kama chadema.

Tuchukulie imetimia 2025 Kama mwanachadema ambae nagombea ubunge au hata Urais, nafikiri sera zangu zitakuwa nini?

1) Nchi imeuzwa.

Wapiga kura wakitazama wanaona nchi ipo mipaka ile ile tena Bashe huko CCM BBT imeanza kuzaa matunda na imeshaongeza vituo mikoa yote! Dah, itakuwaje?

2) Bandari zimeuzwa.

Wapigakura wakitazama, wanaona DP World wamefunga mitambo mipya, zaidi ya nusu ya bajeti ya Tanzania inatokea bandarini. Dah, ntasemaje hapo?

3) Huyu mama msimchaguwe ana akili za "matope" - kwa sauti ya Tundu Lissu.

Wapiga kura wakitazama kila mahali mambo mazuri, mishahara inaongezwa, madarasa mapya kibao, walimu kibao, maji kedekede, umeme ndiyo usiseme , bwawa la nyerere kinatema tu umeme.

Dah, wakitazma Usafiri, SGR ndiyo inapamba moto, mtua anaishi Morogoro anafanya kazi Dar na anawahi kwenda na kurudi kazini.

Nisaidieni jamani, ntawaambia nini wananchi? Wanipe kura zao?
Kwenye hili, kwa nini ujifikirie 'U-CHADEMA',na si 'U - MZEE BUTIKU' na 'U PRO. SHIVJI'?

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Nimefika hapo kwenye mishahara inaongezwa nimecheka sana
 
Usimhusishe Mungu kwa Mambo ambayo hayapo, nyie hata Kura elfu tatu hampati
Mpumbavu anasema moyoni mwake hakuna MUNGU,Tangu mwanzo MUNGU aliwachungulia Wanadamu.Aone kama yuko Mtu mwenye akili amtafutaye Mungu,bali Wanadamu wamepotoka kwa sababu ya MADARAKA na PESA.Soma Zaburi utapata akili.
 
mm najua Mwenyekiti anataka hela tu apige basi , amefanya chama Kama Mali ya ukoo wake Kama alivyo rithishwa anataka naye aje arithishe mtu, mbona kofia ya PhD itagoma
Around, mwenyekiti wetu anamihela ya pale disco, arikua anauza kira kitu, limagufuri rikamfungia naiti kirabu ire.
 
Kwenye hili, kwa nini ujifikirie 'U-CHADEMA',na si 'U - MZEE BUTIKU' na 'U PRO. SHIVJI'?

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Ri shivji ongo rire lizànzabari lile.

Libutiku lijanjsnlilr lilikua linaumanhukunlinapuliza, likose bajeti ua kuendesha ukumbi? Alifikiri sisi wajinga.
 
Utawaambia hio yote ni kazi ya JPM. Wakupe chance ya kuboresha zaidi
 
Back
Top Bottom