Leo FaizaFoxy najivika rasmi joho la upinzani tena CHADEMA

Leo najivika rasmi joho la upinzani, tena, naanza kujifikiria kama chadema.

Tuchukulie imetimia 2025 Kama mwanachadema ambae nagombea ubunge au hata Urais, nafikiri sera zangu zitakuwa nini?

1) Nchi imeuzwa.

Wapiga kura wakitazama wanaona nchi ipo mipaka ile ile tena Bashe huko CCM BBT imeanza kuzaa matunda na imeshaongeza vituo mikoa yote! Dah, itakuwaje?

2) Bandari zimeuzwa.

Wapigakura wakitazama, wanaona DP World wamefunga mitambo mipya, zaidi ya nusu ya bajeti ya Tanzania inatokea bandarini. Dah, ntasemaje hapo?

3) Huyu mama msimchaguwe ana akili za "matope" - kwa sauti ya Tundu Lissu.

Wapiga kura wakitazama kila mahali mambo mazuri, mishahara inaongezwa, madarasa mapya kibao, walimu kibao, maji kedekede, umeme ndiyo usiseme , bwawa la nyerere kinatema tu umeme.

Dah, wakitazma Usafiri, SGR ndiyo inapamba moto, mtua anaishi Morogoro anafanya kazi Dar na anawahi kwenda na kurudi kazini.

Nisaidieni jamani, ntawaambia nini wananchi? Wanipe kura zao?

Dada Faiza weeeeee
 
Safi sana, tutamwambia atuombee kura.
RC Chalamila: Baba Mtume Mwamposa sisi mbele yako tumewakilisha Sadaka ya Shukrani Kutoka kwa Rais wa JMT

Kwahiyo CCM wameshaziwahi Baraka kama Yakobo nyie Chadema wahini kwa Ishmael bamkwe wa Esau 😂😂😀
 
"Sisi Kwetu mtu mzima akitoa hewa hadharani hatusemi kitu" in JK's, Voice
Wewe tope tu kama huyo dhaifu.

Kwetu hapo ndio tunajuwa kama huyo mtu mzima kanywa mbege au kvant. tunamsifia.
 
Wewe bwana, sasa tuwaambie nini wananchi?
Labda tuwaambie sisi maliberali, upinde ruksa kuanzia chekechea mpaka uzeeni.
Kwa vile wale vibenten wako wanakufukua mtaro hadi unatoa samadi unawaza ushoga tu.
 
Mm na familia yangu pamoja na ukoo wangu tutachagua chadema kwa sela kama zitakua hz.
Asante
 
Sasa sisi chadema, usisahau, hapo mimi ni kiongozi wa chadema. Natafuta cha kuwaambia wananchi wanipe kura.

Huyu mama wa kizanzibari anakaba mpaka penati, hata virungu hataki kutupiga tupate pakufokea. Aaaah .
Kamwe hatuwezi kukupa uongozi, narudia KAMWE huwezi kuwa CHADEMA hasa kukupa uongozi sasa una assume vp mambo yasiyowezekana.
Thread closed!
 
Leo najivika rasmi joho la upinzani, tena, naanza kujifikiria kama chadema.

Tuchukulie imetimia 2025 Kama mwanachadema ambae nagombea ubunge au hata Urais, nafikiri sera zangu zitakuwa nini?

1) Nchi imeuzwa.

Wapiga kura wakitazama wanaona nchi ipo mipaka ile ile tena Bashe huko CCM BBT imeanza kuzaa matunda na imeshaongeza vituo mikoa yote! Dah, itakuwaje?

2) Bandari zimeuzwa.

Wapigakura wakitazama, wanaona DP World wamefunga mitambo mipya, zaidi ya nusu ya bajeti ya Tanzania inatokea bandarini. Dah, ntasemaje hapo?

3) Huyu mama msimchaguwe ana akili za "matope" - kwa sauti ya Tundu Lissu.

Wapiga kura wakitazama kila mahali mambo mazuri, mishahara inaongezwa, madarasa mapya kibao, walimu kibao, maji kedekede, umeme ndiyo usiseme , bwawa la nyerere kinatema tu umeme.

Dah, wakitazma Usafiri, SGR ndiyo inapamba moto, mtua anaishi Morogoro anafanya kazi Dar na anawahi kwenda na kurudi kazini.

Nisaidieni jamani, ntawaambia nini wananchi? Wanipe kura zao?
Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Sasa hayo maelezo kwa wananchi yatakuwa na maana gani?
 
Kamwe hatuwezi kukupa uongozi, narudia KAMWE huwezi kuwa CHADEMA hasa kukupa uongozi sasa una assume vp mambo yasiyowezekana.
Thread closed!
Fai kama Wagner jeshi binafs lakukodi linatanguliza mpunga mbele ,sifa ya Wagner wakiwa front line adui akipanda dau wanageuka nyuma adui anakuwa akuwa mwenye dau dogo.
 
Back
Top Bottom