Leo FaizaFoxy najivika rasmi joho la upinzani tena CHADEMA



Dada Faiza weeeeee
 
Safi sana, tutamwambia atuombee kura.
RC Chalamila: Baba Mtume Mwamposa sisi mbele yako tumewakilisha Sadaka ya Shukrani Kutoka kwa Rais wa JMT

Kwahiyo CCM wameshaziwahi Baraka kama Yakobo nyie Chadema wahini kwa Ishmael bamkwe wa Esau 😂😂😀
 
"Sisi Kwetu mtu mzima akitoa hewa hadharani hatusemi kitu" in JK's, Voice
Wewe tope tu kama huyo dhaifu.

Kwetu hapo ndio tunajuwa kama huyo mtu mzima kanywa mbege au kvant. tunamsifia.
 
Wewe bwana, sasa tuwaambie nini wananchi?
Labda tuwaambie sisi maliberali, upinde ruksa kuanzia chekechea mpaka uzeeni.
Kwa vile wale vibenten wako wanakufukua mtaro hadi unatoa samadi unawaza ushoga tu.
 
Mm na familia yangu pamoja na ukoo wangu tutachagua chadema kwa sela kama zitakua hz.
Asante
 
Sasa sisi chadema, usisahau, hapo mimi ni kiongozi wa chadema. Natafuta cha kuwaambia wananchi wanipe kura.

Huyu mama wa kizanzibari anakaba mpaka penati, hata virungu hataki kutupiga tupate pakufokea. Aaaah .
Kamwe hatuwezi kukupa uongozi, narudia KAMWE huwezi kuwa CHADEMA hasa kukupa uongozi sasa una assume vp mambo yasiyowezekana.
Thread closed!
 
Kwa ufupi CCM hawatikiwi kuchaguliwa hata mbunge mmoja! (Labda Mpina )
Tuwe na watu mahiiri Bungeni tuachane na hawa akina mangungo
Mnamuunga Mkono Sasa hivi akiwageuka kama kigogo mtaanza kumpinga!
 
Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Sasa hayo maelezo kwa wananchi yatakuwa na maana gani?
 
Kamwe hatuwezi kukupa uongozi, narudia KAMWE huwezi kuwa CHADEMA hasa kukupa uongozi sasa una assume vp mambo yasiyowezekana.
Thread closed!
Fai kama Wagner jeshi binafs lakukodi linatanguliza mpunga mbele ,sifa ya Wagner wakiwa front line adui akipanda dau wanageuka nyuma adui anakuwa akuwa mwenye dau dogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…