Leo FaizaFoxy najivika rasmi joho la upinzani tena CHADEMA


Yaani wewe tunakujua, unajipa jina la FaizaFoxy wakati ndo mama mwenye nyumba magogoni na chamwino
 
 
Sisi wana CCM tuwe makini sana.Kwa uzoefu wangu watanzania ni wepesi sana kudanganyika na upinzani.Huwa wanatumia mihemko kwenye kupiga kura.
Mimi nilifuatilia uchaguzi wa mwaka 1995,2010 na 2015 ambapo nusura CCM wapoteze kwa Mrema wa NCCR wakati huo.Lakini ukilinganisha Mrema na Mkapa ni tofauti kabisa.
Hili suala la bandari limeshabadili upepo wa kisiasa kwa kiasi kikubwa.Wakati miezi miwili tu iliyopita wengi wetu tulikuwa tunaamini Mama anaweza akapita bila kupingwa,sasa umeanza kuwa na mashaka.
 
hizo ndoto za aninacha kawaulize DJIBUTI kama kuna vitu kama hivyo au ndio wanalipa compensation kwa mwarabu. shida ya akili za watu kama faiza, mwarabu kwao ndio mungu dunia, hata akiharibu hali ya hewa huwa wanasema ni pafume kwasababu hata lugha itakayoongelewa ahera ni kiarabu. upofu na ukiziwi umejikita hapo.
 
Hichi kibibi kimeshafikia menopause ,ni hakina chakupoteza gagura huyuu.
 
Ndiyo sasa tupo 2025 na bandari inaingiza kipato ambacho haijawahi kuingiza toka dunia ianzishwe.

Tunawaambia wananchi "bandari imeuzwa" si tutakuwa wehu kama Tundu Lissu?
 
Sasa uku jf ndio chadema.mpo huko mtaani hakuna mtu anae wataka
Mkuu usicho kijua Ni usiku wa kiza huo ccm tunakulaga fedha tu Mimi laiti viongozi wenzangu wa chama wangejua sipo pamoja nao lwenye baadhi ya Mambo wangenitimu huku JF ndo uhalisia wa maisha yetu huko mtaani uchawa mwingi
 
MNAFIQ TU WW.
 
Tumekusikia mwana wa Mnyaazi Mungu...
 
Unafikiri kuwa CHADEMA ni kama kuvaa kobazi?

Tokea Lin wavaa kobaz tukashangilia chadema chama Cha mapadre??

Mara PENGO,Mara Wilbroad Slaa na kadhalika,kwani wanachama wenu SI wanajulikana??ukorofi huo
 
Acha ujinga wako. Kwani hiyo mitambo lazima wafunge DP. Eti bajeti nusu itoke bandari wakati tutakachoona ni vigogo wote majasusi wa CIA na mission kuhakikisha maslahi ya china urusi na marafiki zao yanakwama tanzania.
Wale mabosi kiasi watajazwa wapwani na wapemba. Waswshili tu.
2025 waka mama hutuna haja nae mawazo ya kiswahili uvivu na tegemezi. Nchi ilianza kisaikolojia kujiamini na kua na fikra za kujitegemea saa hizi ni kuwaza kukopa na upigaji tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…