haszu
JF-Expert Member
- Oct 10, 2017
- 1,572
- 3,863
Katika kufundisha umuhimu wakua na busara na hekima kama kijana, akasema “ hata uwe mtanashati au handsome kama kaka yangu pale, kama huna hekima na busara, bas ni kazi bure”
Basi kabisa zima wakawa wananiangalia.
Kisha mo nikajifanya kama sijui kinachoendelea vile. Yani hadi baba mchungaji ameona huyu jamaa ni super handsome ndani ya kanisa lote. Next time sitakaa mbele sana nisijefuruga ibada za watu, mana wadada wananiangalia sana.