Leo hadi mchungaji amenitolea mfano kama kijana mtanashati and handsome.

Katika kufundisha umuhimu wakua na busara na hekima kama kijana, akasema ā€œ hata uwe mtanashati au handsome kama kaka yangu pale, kama huna hekima na busara, bas ni kazi bureā€
Basi kabisa zima wakawa wananiangalia.

Kisha mo nikajifanya kama sijui kinachoendelea vile. Yani hadi baba mchungaji ameona huyu jamaa ni super handsome ndani ya kanisa lote. Next time sitakaa mbele sana nisijefuruga ibada za watu, mana wadada wananiangalia sana.
Upobdarsalam sio?
 
Kwahiyo kasema kabisa huna hekima
 
Umesahau kwamba amekusema kwamba huna Hekima na Busara, wewe umeangalia sehemu ya kwanza tu ya mfano!
 
Vijana kama ninyi

Si tu kwa Taifa hata kwa mtaa wako huna mchango kabisa..

Endeleeni kudai haki yenu
 
Katika kufundisha umuhimu wakua na busara na hekima kama kijana, akasema ā€œ hata uwe mtanashati au handsome kama kaka yangu pale, kama huna hekima na busara, bas ni kazi bureā€
Basi kabisa zima wakawa wananiangalia.

Kisha mo nikajifanya kama sijui kinachoendelea vile. Yani hadi baba mchungaji ameona huyu jamaa ni super handsome ndani ya kanisa lote. Next time sitakaa mbele sana nisijefuruga ibada za watu, mana wadada wananiangalia sana.
Ukiona mwanaume anamsifia mwanaume mwenzake kwamba ni mtanashati au handsome basi jua mwanaume huyo kama haliwi na wanaume wenzake basi anakula wanaume wenzake.
Mwanaume anayejitambua huwa hana muda wa kuchunguza uzuri au utanashati wa wanaume wenzake.
Kwahiyo huyo padri yawezekana analiwa na wanaume au ni basha anayepakua wanaume wenzake.
 
1000003518.jpg
 
Katika kufundisha umuhimu wakua na busara na hekima kama kijana, akasema ā€œ hata uwe mtanashati au handsome kama kaka yangu pale, kama huna hekima na busara, bas ni kazi bureā€
Basi kabisa zima wakawa wananiangalia.

Kisha mo nikajifanya kama sijui kinachoendelea vile. Yani hadi baba mchungaji ameona huyu jamaa ni super handsome ndani ya kanisa lote. Next time sitakaa mbele sana nisijefuruga ibada za watu, mana wadada wananiangalia sana.
Hivi mtu mwenye hekima na busara na akili anawezaje kwenda kwenye hayo makanisani šŸ™„šŸ™„šŸ™„
 
Katika kufundisha umuhimu wakua na busara na hekima kama kijana, akasema ā€œ hata uwe mtanashati au handsome kama kaka yangu pale, kama huna hekima na busara, bas ni kazi bureā€
Basi kabisa zima wakawa wananiangalia.

Kisha mo nikajifanya kama sijui kinachoendelea vile. Yani hadi baba mchungaji ameona huyu jamaa ni super handsome ndani ya kanisa lote. Next time sitakaa mbele sana nisijefuruga ibada za watu, mana wadada wananiangalia sana.
Ukisifiwa ujue wewe boya.. unajazwa upepo utulie hapo hapo ili wajanja waendelee kukutumia.
 
Back
Top Bottom