Kabisa hadi unaandika kwa kudeka!Katika kufundisha umuhimu wakua na busara na hekima kama kijana, akasema “ hata uwe mtanashati au handsome kama kaka yangu pale, kama huna hekima na busara, bas ni kazi bure”
Basi kabisa zima wakawa wananiangalia.
Kisha mo nikajifanya kama sijui kinachoendelea vile. Yani hadi baba mchungaji ameona huyu jamaa ni super handsome ndani ya kanisa lote. Next time sitakaa mbele sana nisijefuruga ibada za watu, mana wadada wananiangalia sana.
Kama huna pesa ni kazi Bure angalia handsome wote wanamiliki wanawake wabaya sana popote paleKatika kufundisha umuhimu wakua na busara na hekima kama kijana, akasema “ hata uwe mtanashati au handsome kama kaka yangu pale, kama huna hekima na busara, bas ni kazi bure”
Basi kabisa zima wakawa wananiangalia.
Kisha mo nikajifanya kama sijui kinachoendelea vile. Yani hadi baba mchungaji ameona huyu jamaa ni super handsome ndani ya kanisa lote. Next time sitakaa mbele sana nisijefuruga ibada za watu, mana wadada wananiangalia sana.
Subhanallah!Mswalie mtume!Unaonekana una samvu tamu sana.
AiseeUnaonekana una samvu tamu sana.
Ukinipa nitakutajirisha.
Cc: Mbaga Jr secretarybird cocastic Monetary doctor
Huyu anaweza pakatwa mda si mrefuTafuta hela, Achana na pigo za kidada... 😎😎
Ukiona mwanaume anajisifia u- handsome kuna mawili tayari au anaelekea kulegezwa nati.Huyu anaweza pakatwa mda si mrefu
Kijana acha kupenda sifa za kijinga. Utaishia pabaya.Katika kufundisha umuhimu wakua na busara na hekima kama kijana, akasema “ hata uwe mtanashati au handsome kama kaka yangu pale, kama huna hekima na busara, bas ni kazi bure”