Leo hadi mchungaji amenitolea mfano kama kijana mtanashati and handsome.

Upobdarsalam sio?
 
Kwahiyo kasema kabisa huna hekima
 

Umesahau kwamba amekusema kwamba huna Hekima na Busara, wewe umeangalia sehemu ya kwanza tu ya mfano!
 
Vijana kama ninyi

Si tu kwa Taifa hata kwa mtaa wako huna mchango kabisa..

Endeleeni kudai haki yenu
 
Ukiona mwanaume anamsifia mwanaume mwenzake kwamba ni mtanashati au handsome basi jua mwanaume huyo kama haliwi na wanaume wenzake basi anakula wanaume wenzake.
Mwanaume anayejitambua huwa hana muda wa kuchunguza uzuri au utanashati wa wanaume wenzake.
Kwahiyo huyo padri yawezekana analiwa na wanaume au ni basha anayepakua wanaume wenzake.
 
Hivi mtu mwenye hekima na busara na akili anawezaje kwenda kwenye hayo makanisani πŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
Ukisifiwa ujue wewe boya.. unajazwa upepo utulie hapo hapo ili wajanja waendelee kukutumia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…