Leo wakati nafuatilia kesi ya uhaini dhidi ya Lissu, kutokana na hoja nzito za kisheria alizokuja nazo Lissu , ilifanya hoja za upande wa Jamhuri ukiongozwa na Bwn. Katuga, kuonekana hazina mashiko kabisa, hali hii ilimfanya hakimu aone kabisa kesi hii inafaa kufutiliwa mbali Leo hii, ila ghafla kwenye facial expression yake wakati anataka kutoa maamuzi ,ni kama alipata hofu kubwa sana na hii ikampelekea kutumia uajanja wa kupata muda ili apitie hoja za pande zote kwanza, hii imefanyika hili kuwanusuru mawakili wa serikali ambao leo waligalagazwa vibaya muno.
Inawezekana Hakimu alichelewa kupewa maelekezo mapema kuhusu nini cha kufanya leo na matokeo yake akajikuta amenasa kwenye hoja za Lissu.
Kama si mahakama zetu kuingiliwa na serikali kama Lissu alivyosema leo, Hakimu Kiswaga alikuwa aifutilie mbali kesi hii leo.