Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,499
- 25,295
hawezi kujitoa kirahisi hivyo ila uwezekano wa kusafiri ni mkubwa sana. yule jaji wa kesi ya mbowe yupo wapi sasa?Naona Kila dalili ya huyu hakimu kujiondoa kwenye hii kesi na kwa Lengo la kuendelea kupoteza,hakimu atakayeipokea atapiga tar kwa kusema anapitia kwanza jalada la kesi
si alisema mbowe anakesi ya kujibu ya ugaidi? gaidi katolewa mahabusu kaenda ikulu bila hata kuwambia wenzake
yaani raisi wa nchi anakutana na gaidi ikulu wanakunywa kahawa?
MTU MWEUSI WAKE UTUMWA TU NDO MANA TUKAUZWA MIAKA 400