Hakimu ana ndoto za kuwa jaji.Angenawa mikono kama Pilato
Kinahusiana na hii kesi ya Lissu.Nasikia Rostam amefungua kiwanda cha gas Nairobi
Em acha kujifariji, Lissu amekaa mahabusu zaidi ya siku mia Kwahy muda wote huo huyo jaji hafahamu ukweli wa hii kesi mpaka leo hii uje na hii nadharia yako?Leo wakati nafuatilia kesi ya uhaini dhidi ya Lissu, kutokana na hoja nzito za kisheria alizokuja nazo Lissu , ilifanya hoja za upande wa Jamhuri ukiongozwa na Bwn. Katuga, kuonekana hazina mashiko kabisa, hali hii ilimfanya hakimu aone kabisa kesi hii inafaa kufutiliwa mbali Leo hii, ila ghafla kwenye facial expression yake wakati anataka kutoa maamuzi ,ni kama alipata hofu kubwa sana na hii ikampelekea kutumia uajanja wa kupata muda ili apitie hoja za pande zote kwanza, hii imefanyika hili kuwanusuru mawakili wa serikali ambao leo waligalagazwa vibaya muno.
Inawezekana Hakimu alichelewa kupewa maelekezo mapema kuhusu nini cha kufanya leo na matokeo yake akajikuta amenasa kwenye hoja za Lissu.
Kama si mahakama zetu kuingiliwa na serikali kama Lissu alivyosema leo, Hakimu Kiswaga alikuwa aifutilie mbali kesi hii leo.
100% Waliosoma kwa Polepole mbona wamenielewa kitamboKinahusiana na hii kesi ya Lissu.
Hakimu ana ndoto ya kuwa jaji.Hakimu mwenyewe muoga Sana. Mara nimefungwa mikono bla blah nyingi.
Naongelea kilichojiri mahakamani leo hii.Em acha kujifariji, Lissu amekaa mahabusu zaidi ya siku mia Kwahy muda wote huo huyo jaji hafahamu ukweli wa hii kesi mpaka leo hii uje na hii nadharia yako?
Kwan leo ndo ameingia mahakamani kwa mara ya kwanza?Naongelea kilichojiri mahakamani leo hii.
usidanganywe hakimu sijui jaji na waendesha mashtaka wa ile kesi wanajua wanachokifanya na huwa wanakutana kabla ya kesi kuweka msimamo wa siku husika. wale wote ni kitu kimojaLeo wakati nafuatilia kesi ya uhaini dhidi ya Lissu, kutokana na hoja nzito za kisheria alizokuja nazo Lissu , ilifanya hoja za upande wa Jamhuri ukiongozwa na Bwn. Katuga, kuonekana hazina mashiko kabisa, hali hii ilimfanya hakimu aone kabisa kesi hii inafaa kufutiliwa mbali Leo hii, ila ghafla kwenye facial expression yake wakati anataka kutoa maamuzi ,ni kama alipata hofu kubwa sana na hii ikampelekea kutumia uajanja wa kupata muda ili apitie hoja za pande zote kwanza, hii imefanyika hili kuwanusuru mawakili wa serikali ambao leo waligalagazwa vibaya muno.
Inawezekana Hakimu alichelewa kupewa maelekezo mapema kuhusu nini cha kufanya leo na matokeo yake akajikuta amenasa kwenye hoja za Lissu.
Kama si mahakama zetu kuingiliwa na serikali kama Lissu alivyosema leo, Hakimu Kiswaga alikuwa aifutilie mbali kesi hii leo.
Hakimu ana ndoto ya kuwa jaji.
Ila kama mahakama za Tanzania zingekuwa huru, leo ilikuwa aifutilie mbali kesi ya uhaini dhidi ya Lissu.
usidanganywe hakimu sijui jaji na waendesha mashtaka wa ile kesi wanajua wanachokifanya na huwa wanakutana kabla ya kesi kuweka msimamo wa siku husika. wale wote ni kitu kimoja
Mahakama za Tanzania ni chombo cha kichawaLeo wakati nafuatilia kesi ya uhaini dhidi ya Lissu, kutokana na hoja nzito za kisheria alizokuja nazo Lissu , ilifanya hoja za upande wa Jamhuri ukiongozwa na Bwn. Katuga, kuonekana hazina mashiko kabisa, hali hii ilimfanya hakimu aone kabisa kesi hii inafaa kufutiliwa mbali Leo hii, ila ghafla kwenye facial expression yake wakati anataka kutoa maamuzi ,ni kama alipata hofu kubwa sana na hii ikampelekea kutumia uajanja wa kupata muda ili apitie hoja za pande zote kwanza, hii imefanyika hili kuwanusuru mawakili wa serikali ambao leo waligalagazwa vibaya muno.
Inawezekana Hakimu alichelewa kupewa maelekezo mapema kuhusu nini cha kufanya leo na matokeo yake akajikuta amenasa kwenye hoja za Lissu.
Kama si mahakama zetu kuingiliwa na serikali kama Lissu alivyosema leo, Hakimu Kiswaga alikuwa aifutilie mbali kesi hii leo.
ukiwa tu mfanyakazi wa serikali tayari unakuwa mnafiki. ukumbuke tupo kwenye nchi ambayo siyo uwezo binafsi wa mtu unaomfanya kupanda ngazi bali upambe na kujipendekeza kwa wakubwa.Yani acha tu haya mambo. Mimi hakimu aliposema anawataka mawakili wake na hoja na kuishawishi mahakama ikubaliane nao hapo tarehe 13/7/2025 nikajua Hawa Wanamakubaliano.
Halafu hakimu ili ujue anatumika, kila akihairisha ni siku 14, sio 7 Wala 10. Wakati sheria haijamfunga Bali sheria inataka siku zisizidi kumi na nne. Naye anatumika.
Naona Kila dalili ya huyu hakimu kujiondoa kwenye hii kesi na kwa Lengo la kuendelea kupoteza,hakimu atakayeipokea atapiga tar kwa kusema anapitia kwanza jalada la kesiusidanganywe hakimu sijui jaji na waendesha mashtaka wa ile kesi wanajua wanachokifanya na huwa wanakutana kabla ya kesi kuweka msimamo wa siku husika. wale wote ni kitu kimoja