Leo ilibaki kidogo Hakimu aifute kesi ya Lissu, ila ghafla akapata hofu

Naona Kila dalili ya huyu hakimu kujiondoa kwenye hii kesi na kwa Lengo la kuendelea kupoteza,hakimu atakayeipokea atapiga tar kwa kusema anapitia kwanza jalada la kesi
hawezi kujitoa kirahisi hivyo ila uwezekano wa kusafiri ni mkubwa sana. yule jaji wa kesi ya mbowe yupo wapi sasa?
si alisema mbowe anakesi ya kujibu ya ugaidi? gaidi katolewa mahabusu kaenda ikulu bila hata kuwambia wenzake
yaani raisi wa nchi anakutana na gaidi ikulu wanakunywa kahawa?
MTU MWEUSI WAKE UTUMWA TU NDO MANA TUKAUZWA MIAKA 400
 
Lissu baada ya kutoa darasa la Sheria na Mamlaka ya mahakama kweli Hakimu aliona anajukumu kubwa sana mbele yake.

Vijana wasomi wa Sheria muwe mnafuatilia kesi hii mtafaidika na kujifunza mengi - Lissu is another class.
 
Shida ndiyo ikaanzia hapo kwenye Bold.
 
Kiswaga si muadilifu hata kidogo,aliwahi knifanyia uhuni mahakama ya kinondoni, sitamsahau
 
Nawaonea huruma watoto na ndugu wa huyu hakimu. Huwezi kusimama mahali, ukajivunia mzazi au ndugu kama huyu Wakuswagwa. Ni aheri wale wazee wa mahakama ya mwanzo wanaweza kutoa hukumu yenye mantiki kuliko huyu anayeSwagwa na mawakili wa Sa100.
 
Wangemuua usiku huu huu
 
Naona Kila dalili ya huyu hakimu kujiondoa kwenye hii kesi na kwa Lengo la kuendelea kupoteza,hakimu atakayeipokea atapiga tar kwa kusema anapitia kwanza jalada la kesi
Lissu yuko Tayari kwa lolote
 
Dunia inatazama na kufuatilia tunajishushia heshima
 
Hakimu yupo vizuri Ila nilivyomsomo anahofia maisha yake zaidi na anatamani asingepewa hii Case.

Kuna uwezekano alijikuta kapewa hii Case bila kupenda
 
usidanganywe hakimu sijui jaji na waendesha mashtaka wa ile kesi wanajua wanachokifanya na huwa wanakutana kabla ya kesi kuweka msimamo wa siku husika. wale wote ni kitu kimoja
Watakuja kujisema wenyewe wanachokiendesha gizani
 
usidanganywe hakimu sijui jaji na waendesha mashtaka wa ile kesi wanajua wanachokifanya na huwa wanakutana kabla ya kesi kuweka msimamo wa siku husika. wale wote ni kitu kimoja
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…