Leo itakuwa mwisho kulipia bando, nimepata suluhisho la bure

Hivi inatumia njia gani ku surpass /bypass hizo mb 200 per day na kuwa unlimited? Maana inaniandikia. Download limit reached then inagona kufungua port
mkuu.. nimekucheck mbona kimya
 
Mkuu nimeweka setting kama ulivyoelekeza bt inaniambia ivalid user name or password, hizi nazipataje?
 
Mkuu mm inaniambia invalid user name or password, nafanyaje?
 
Wanajamvi,hii ina maana gani,nimefanikiwa,au ndo nimepotea?nisaidieni.
 
Unaambiwa hapo ndo ilikuwa connected[emoji23]

Bundle lilivyokata tu, ikawa disconnected[emoji23]

Eti server za Kalifonia, wanaweka na ka satellite uchwara[emoji23]

Hii kitu jana imenimalizia muda wangu wa bure!View attachment 2314618
[emoji23][emoji23] tafuta hela mkuu
 
Ingekuwa unlimited limit ingekuwa freshhhh mnooooooo mb 200 hazitoshi kwa siku yafaa gb 2 hivi kwa siku maana sisi wengine tunaendaga kucheki youtube tutorial
 
Nimeconnect natumia tangu jana vpn yako naona imeniandkia download data limit reached..tunasolvu vipi hili suala au ndo basi tena niendelee kuteseka na bei za home internet
Kuna njia zaidi ya Moja ila iliyo rahisi ni hii:-
-Kikubwa simu yako iwe Rooted
-Create Account za droid vpn hata 10 kwa maana 10x300=3000MB
-pakua device ID changer then fanya kuchange ID ya simu yako
-Login DRoidVpn na Ac nyingine
-Kila unapomaliza 300Mb zako change ID then unaingia Droid vpn na AC ingine yaani Mwendo huo huo
ukimaliza zile 10 badili server then Anza tena na ya 1 endelea kucheza na Device ID
 
Ingekuwa UNLIMITED LIMIT INGEKUWA FRESHHHH MNOOOOOOO MB 200 HAZITOSHI KWA SIKU YAFAA GB 2 HIVI KWA SIKU MAANA SISI WENGINE TUNAENDAGA KUCHEKI YOUTUBE TUTORIAL
Kuna njia zaidi ya Moja ila iliyo rahisi ni hii:-
-Kikubwa simu yako iwe Rooted
-Create Account za droid vpn hata 10 kwa maana 10x300=3000MB
-pakua device ID changer then fanya kuchange ID ya simu yako
-Login DRoidVpn na Ac nyingine
-Kila unapomaliza 300Mb zako change ID then unaingia Droid vpn na AC ingine yaani Mwendo huo huo
ukimaliza zile 10 badili server then Anza tena na ya 1 endelea kucheza na Device ID hapo unapigisha mpaka 6GB
 
Mimi nilikuwa mtaalamu kitambo sasa nina chimbo la kulamba asali vocha hazinipi chenga nimeacha na kuhangaikia Vpn ila ngoja niusevu huu uzi maana siku hazifanani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…