Leo itakuwa mwisho kulipia bando, nimepata suluhisho la bure

Leo itakuwa mwisho kulipia bando, nimepata suluhisho la bure

Wanigeria noma. KILA sekta wapo njema. Wanampiga bao hadi shetani. Zamani ukipewa utajiri wa punje yaani kuwa tajiri then baada ya miaka SAwa na idadi ya punje kala kuku ndo utaishi. SAsa wanigeria wanaweza kuitoa hio lock. Yaani wanaflash password ya miaka ya kuishi uliyopewa na mganga bongo wanakuongezea miaka ukiendelea na utajiri wako.
[emoji23][emoji23]
 
Mwanzo ilikua inapiga kazi saivi naona haikonect au wenye mtandao wao watakua wamesanuka wameamua kupiga pin make tigo inagoma halotel l inaconnect ila iko slowa sana ata status whatsapp kufungua ni tabu vipi nyie kwenu tigo bado inaconnect
 
Simu yako ikiwa haina salio wala bundle fanya kuweka data on then Angalia kwenye network bars je ile alama ya lte,H+ au 3G inaonekana pamoja na vile vimshale vya upload na Download↕️↕️?
Kama hakuna jua kwamba hakuna host ya Zero rated yaani wameipiga 🔐🔐🚮🚮🚮 so hakuna trick itakayopiga mzigo kiboya
 
UPDATES:
Jinsi wakuu mnavyozidi kujazana kwenye Tho DroidVPN, mnaifanya kupungua intensity, inakuwa busy sana, just assume hata kufungua uzi inatumia dk 1. Pungueni basi mkatafute hela, vya bure vinaua! kha!
[emoji34][emoji34]
Nunua bando mkuu, una wait dakka 1 nzima kufungua uzi? Huo uvumilivu sina
 
Simu yako ikiwa haina salio wala bundle fanya kuweka data on then Angalia kwenye network bars je ile alama ya lte,H+ au 3G inaonekana pamoja na vile vimshale vya upload na Download[emoji3484][emoji3484]?
Kama hakuna jua kwamba hakuna host ya Zero rated yaani wameipiga [emoji359][emoji359][emoji706][emoji706][emoji706] so hakuna trick itakayopiga mzigo kiboya
Dah basi wamepiga pin apo nais option ni kutafta rain nyingine
 
Wabongo wamejazana ni nyomi la kufa mtu huko hata pa kutemea mate hakuna, Server zote zina kamuliwa kinyama so imeshakuwa utopolo 💩💩💩🦴🦴🦴 vpn yenyewe lazima ikate moto!!!!!!
Hachana nayo tafuta chimbo lingine au vizia mida ya usiku mnene watu wakiwa wamelala 💫💫
Kwahiyo sisi tulale tukuachie wewe VPN ya peke yako ujirambe au sio!
 
Mwanzo ilikua inapiga kazi saivi naona haikonect au wenye mtandao wao watakua wamesanuka wameamua kupiga pin make tigo inagoma halotel l inaconnect ila iko slowa sana ata status whatsapp kufungua ni tabu vipi nyie kwenu tigo bado inaconnect
[emoji23][emoji23][emoji23]
Saver zimezidiwa, wabongo wamekuwa nyomi! Tunapenda vya bure sana!
 
Back
Top Bottom