INTROVERT MAN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 993
- 1,343
Mtandao upi inakubali?I download hiyo apk then install , hahiitaji any setting
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtandao upi inakubali?I download hiyo apk then install , hahiitaji any setting
Natumia tigo sim cardMtandao upi inakubali?
Nimecheka kwa sauti [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nyie ndio wale mnaenda DIT Kupiga punyeto tu.
Ukifika pale ofsini ukiona Ile super computer. Unarudi room kulala.
[emoji23][emoji23]Wanigeria noma. KILA sekta wapo njema. Wanampiga bao hadi shetani. Zamani ukipewa utajiri wa punje yaani kuwa tajiri then baada ya miaka SAwa na idadi ya punje kala kuku ndo utaishi. SAsa wanigeria wanaweza kuitoa hio lock. Yaani wanaflash password ya miaka ya kuishi uliyopewa na mganga bongo wanakuongezea miaka ukiendelea na utajiri wako.
Simu yako ikiwa haina salio wala bundle fanya kuweka data on then Angalia kwenye network bars je ile alama ya lte,H+ au 3G inaonekana pamoja na vile vimshale vya upload na Download↕️↕️?Mwanzo ilikua inapiga kazi saivi naona haikonect au wenye mtandao wao watakua wamesanuka wameamua kupiga pin make tigo inagoma halotel l inaconnect ila iko slowa sana ata status whatsapp kufungua ni tabu vipi nyie kwenu tigo bado inaconnect
Watu wana utani!Nimecheka kwa sauti [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nunua bando mkuu, una wait dakka 1 nzima kufungua uzi? Huo uvumilivu sinaUPDATES:
Jinsi wakuu mnavyozidi kujazana kwenye Tho DroidVPN, mnaifanya kupungua intensity, inakuwa busy sana, just assume hata kufungua uzi inatumia dk 1. Pungueni basi mkatafute hela, vya bure vinaua! kha!
[emoji34][emoji34]
Hii tunnel mm nimeifuta.. nimebaki na throid tuu
Tupe na sababu za kuifuta labda weak network.Hii tunnel mm nimeifuta.. nimebaki na throid tuu
Nop ni kupunguza tuu. Apps kweny simu throid inafaaa kwangu natumia tigo sim cardTupe na sababu za kuifuta labda weak network.
Troid inapatikana kwa Mtandao wowote?
Dah basi wamepiga pin apo nais option ni kutafta rain nyingineSimu yako ikiwa haina salio wala bundle fanya kuweka data on then Angalia kwenye network bars je ile alama ya lte,H+ au 3G inaonekana pamoja na vile vimshale vya upload na Download[emoji3484][emoji3484]?
Kama hakuna jua kwamba hakuna host ya Zero rated yaani wameipiga [emoji359][emoji359][emoji706][emoji706][emoji706] so hakuna trick itakayopiga mzigo kiboya
Nimejaribu kunaline bado zinakimbiza na line nyingine za mtandao huo huo haziconnect so jaribu kuboostt au tafta line ingineDah basi wamepiga pin apo nais option ni kutafta rain nyingine
Kwahiyo sisi tulale tukuachie wewe VPN ya peke yako ujirambe au sio!Wabongo wamejazana ni nyomi la kufa mtu huko hata pa kutemea mate hakuna, Server zote zina kamuliwa kinyama so imeshakuwa utopolo 💩💩💩🦴🦴🦴 vpn yenyewe lazima ikate moto!!!!!!
Hachana nayo tafuta chimbo lingine au vizia mida ya usiku mnene watu wakiwa wamelala 💫💫
[emoji23][emoji23][emoji23]Mwanzo ilikua inapiga kazi saivi naona haikonect au wenye mtandao wao watakua wamesanuka wameamua kupiga pin make tigo inagoma halotel l inaconnect ila iko slowa sana ata status whatsapp kufungua ni tabu vipi nyie kwenu tigo bado inaconnect
Throid imejaa, lazima isumbue, kama haijaanza kusumbua itasumbua tu baade! Status yake inatisha! Wabongo wamejazana huko! [emoji23][emoji23]Hii tunnel mm nimeifuta.. nimebaki na throid tuu