Leo itakuwa mwisho kulipia bando, nimepata suluhisho la bure

Halotel inakuaj mkuu
 
Nakuunga mkono[emoji3577][emoji3577][emoji3577]
 
Hii kwa wasap tu Youtube na Insta hautoboi vipi wewe unatoboa nayo zaidi ya wasap ?
Jana ilikuwa vizuri sana
Instagram, facebook, whatsapp,
Nimedownload video kwa chrome speed ya 4g
Sasa hivi imepungua natumia whatsapp, twitter na jamii forums kama kawaida. Facebook lite kidogo iko slow
 
Jana ilikuwa vizuri sana
Instagram, facebook, whatsapp,
Nimedownload video kwa chrome speed ya 4g
Sasa hivi imepungua natumia whatsapp, twitter na jamii forums kama kawaida. Facebook lite kidogo iko slow
Si ile thunderstorm au nyingine ?

Au labda mimi nilikuwa sipatii server vipi wewe unaset vipi mpk inakubali kote huko maana mimi ilikua wasap tu tena muda mwingine kwa mbinde mpk nikaifuta kabisa..
 
Na usiamini kila anayekufata PM wengi ni hao tunaotaka kuwakimbia wanataka wazibe tena fulsa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…