Leo itakuwa mwisho kulipia bando, nimepata suluhisho la bure

Leo itakuwa mwisho kulipia bando, nimepata suluhisho la bure

Watu wamepiga vifurushi vya Tigo mpaka wameshtuka wameamua kufunga sasa hv.

Tukapiga vya Airtel kimyakimya.

Tukahamia TTCL watu tumekula ma GB ya kutosha now wameshtuka wamefunga uchochoro.

Sasa hv tupo na Halotel tunaserereka na Ma GB Yao, mpaka kieleweke Yani.

Voda naona wanakaza kimtindo Ila kitaeleweka Tu.
Halotel inakuaj mkuu
 
Nimeona ni ujinga kulialia kila siku sasa ni mwendo wa vpn tu nilikuwa napata shida na configuration files namalizia tu kuzi sort hapa na kuna mdau nimekutana naye instagram ni mnigeria ananisaidia

Airtel leo mnaenda kupata tshs 2000 ya mwisho kwenye bando lakini bado nitakuwa hewani sana FOR FREE UNYONGE SASA BASI NYIE PANDISHENI TU HATA IWE 5000 KWA MB 50 ,WAZIRI MWENYEWE AKILALAMIKIWA ANAWASUTA WATU
Nakuunga mkono[emoji3577][emoji3577][emoji3577]
 
Hii kwa wasap tu Youtube na Insta hautoboi vipi wewe unatoboa nayo zaidi ya wasap ?
Jana ilikuwa vizuri sana
Instagram, facebook, whatsapp,
Nimedownload video kwa chrome speed ya 4g
Sasa hivi imepungua natumia whatsapp, twitter na jamii forums kama kawaida. Facebook lite kidogo iko slow
 
Jana ilikuwa vizuri sana
Instagram, facebook, whatsapp,
Nimedownload video kwa chrome speed ya 4g
Sasa hivi imepungua natumia whatsapp, twitter na jamii forums kama kawaida. Facebook lite kidogo iko slow
Si ile thunderstorm au nyingine ?

Au labda mimi nilikuwa sipatii server vipi wewe unaset vipi mpk inakubali kote huko maana mimi ilikua wasap tu tena muda mwingine kwa mbinde mpk nikaifuta kabisa..
 
Na usiamini kila anayekufata PM wengi ni hao tunaotaka kuwakimbia wanataka wazibe tena fulsa
 
Back
Top Bottom