Leo jioni nimepanda mwendokasi baada ya kupata breakdown lakini kilichonitokea aisee wanawake hizo nywele muwe mnaosha

Wewe Kumbe ni mtu wa majipu makwapani.Watu wametoka kwenye mishe wananukia kibeberu wewe unaleta za kuleta.
 
Wese limekata alafu uasema. Breki down ...na ule mkopo wa hiyo crown uulalize utaajua hujui
 
Sasa habari ya gari yako ilipata brakedown mbona hapa haina umuhimu ? Au baada ya nywele za dada kuwa chafu ulienda kumchukulia wigi la ziada kwenye gari yako?
Watu mna tabu sana..ukiona mtu ameandika gari yangu unahisi inferior plus wivu
si kawaida yake kupanda hayo magari yenu
 
Watu mna tabu sana..ukiona mtu ameandika gari yangu unahisi inferior plus wivu
si kawaida yake kupanda hayo magari yenu
Dogo angalia hii namba nyingine nisije kukuchapa makofi
 
Na wewe inaonesha ni mtoto wa mama sana. Watu wametoka michakatoni na kila mtu na shughuli anayoifanya, wametoka jasho siku nzima ikiwa pamoja na kichwa, sasa mida hiyo ulitaka anukie???
kwahio jioni ni muda wa kunuka sio
 
Kuna watu wanasema hata kama wana magari mara moja moja wanaenjoi kupanda dalala, vp hujapata mawili matatu kuhusu hili mkuu.
 
Mkuu unapandaje mwendo kasi mimi bora nipande daladala ya kawaida nipate na siti kabisa km mfukoni sina hela kuliko kujichukiza kwa mwendo kasi maana si kwa ule mbanano aisee.Tena zile za kivukoni ni balaa zinanuka shombo lasamaki yaani kupanda shida kushuka shida.

Yaani unashuka mwendo kasi kama unapiga makasia kwa kuwapangua watu [emoji23][emoji3][emoji3] Fanya utengeneze hilo gari uendelee kula raha maisha yenyewe mafupi
 
Pungent 🀣
Mufti kuku The Infinity
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…