Abigail2011
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 519
- 230
Wewe Kumbe ni mtu wa majipu makwapani.Watu wametoka kwenye mishe wananukia kibeberu wewe unaleta za kuleta.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu mna tabu sana..ukiona mtu ameandika gari yangu unahisi inferior plus wivuSasa habari ya gari yako ilipata brakedown mbona hapa haina umuhimu ? Au baada ya nywele za dada kuwa chafu ulienda kumchukulia wigi la ziada kwenye gari yako?
Dogo angalia hii namba nyingine nisije kukuchapa makofiWatu mna tabu sana..ukiona mtu ameandika gari yangu unahisi inferior plus wivu
si kawaida yake kupanda hayo magari yenu
Acha wivu wa kijinga wewe mtoto..ukiwa hauna gari tuliza mshonoDogo angalia hii namba nyingine nisije kukuchapa makofi
Sawa dogo ila na wewe Acha ulimbukeniAcha wivu wa kijinga wewe mtoto
kwahio jioni ni muda wa kunuka sioNa wewe inaonesha ni mtoto wa mama sana. Watu wametoka michakatoni na kila mtu na shughuli anayoifanya, wametoka jasho siku nzima ikiwa pamoja na kichwa, sasa mida hiyo ulitaka anukie???
Pungent 🤣Hapa leo hadi nimeshindwa kwenda bar najiuliza hii choking naitoaje maana nahisi bado ile harufu ipo puani mwangu.
Ilikua hivi, nimepata breakdown mahala nikalazimisha limp mode hadi garage ila gari imebidi kuiacha hapo. Ili kufika ninakokwenda ikabidi nichukue mwendokasi jioni hii, mule ndani palikua pamejaa lkn sikujua nikaingia tu. Mbele yangu alikua amesimama binti mmoja mfupi kiasi kaweka nywele style moja nzuri tu.
Lakini baada ya sekunde kadhaa nikaanza kuhisi hewa kuwa nzito sana kuja kugundua kumbe pua yangu imeangaliana kabisa na na kichwa cha huyo binti aliepo mbele yangu. Aisee nywele zile zilikua zinatoa harufu moja mbaya sana kama upo karibu, na ni harufu kitaalamu tunaweza iita pungent au choking smell.
Staili ya nywele nzuri ila sasa kaa karibu usikie mziki wake. Nimevumilia hadi ikabidi nishuke tu kituo kinachofuata ili nitoke nibadili usafiri.
Alitaka tujue ana gari, pole Kwa kumiliki gari bovuSwali
Haikuwezekana kusema umepanda mwendokasi mpaka useme kua una gari imepata breakdown?
Lkn bora ukutane na harufu ya nywele kuliko kikwapa.Mawigi yananuka kishamba yaani ,sijui wanayapendea nn ?
😂😂😂Lkn bora ukutane na harufu ya nywele kuliko kikwapa.