Leo kabla ya kujadili siasa kila mmoja ahakiki namba yake kwa kupiga *106#

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
790
Reaction score
964
Zimebaki siku chache kufikia Tar 13 Februari 2023.

Hakiki Leo. Piga *106#, chagua 5 kisha chagua 1 kuhakiki namba kuu au chagua 2 kuhakiki namba za ziada.

Pia unaweza kutembelea duka au Wakala wa mtandao wako kuepuka laini kufungiwa.

20230206_120514.jpg

#HakikiLainaYako
#2023kidijitalizaidi
 
Wazo zuri, sijaona ujumbe wowote kuthibisha chochote zaidi ya kuonyeshwa no zangu kila nikiingiza no za NIDA
 
Kwani leo unafanya sensa gani,ninavyojua sensa ya watu na makazi ulisha pita,🤔
 
Zimebaki siku chache kufikia Tar 13 Februari 2023.

Hakiki Leo. Piga *106#, chagua 5 kisha chagua 1 kuhakiki namba kuu au chagua 2 kuhakiki namba za ziada.

Pia unaweza kutembelea duka au Wakala wa mtandao wako kuepuka laini kufungiwa.

View attachment 2508175

#HakikiLainaYako
#2023kidijitalizaidi
Kwani wakifunga line Mwenye hasara ni mtumiaji au kampuni husika na je Usajili laini nao utakuwa umefungwa au
 
Kuna GB 8 za bure, acha kushupaza shingo.

Bonyeza *106# OK
Halafu bonyeza 5
Halafu hakiki Kwa namba ya Nida au Tigo pesa then imoo.
 
Shenzi, kuna namba siijui ninekuta imesajiliwa kwa kitambulisho changu. Yaan right away naenda kumripoti
 
Zimebaki siku chache kufikia Tar 13 Februari 2023.

Hakiki Leo. Piga *106#, chagua 5 kisha chagua 1 kuhakiki namba kuu au chagua 2 kuhakiki namba za ziada.

Pia unaweza kutembelea duka au Wakala wa mtandao wako kuepuka laini kufungiwa.

View attachment 2508175

#HakikiLainaYako
#2023kidijitalizaidi
Hili nalo litapita tu, pyuuuuu! Ile hela tuma namba hii itaendelea.
 
Back
Top Bottom