Kwani leo unafanya sensa gani,ninavyojua sensa ya watu na makazi ulisha pita,🤔Zimebaki siku chache kufikia Tar 13 Februari 2023.
Hakiki Leo. Piga *106#, chagua 5 kisha chagua 1 kuhakiki namba kuu au chagua 2 kuhakiki namba za ziada.
Pia unaweza kutembelea duka au Wakala wa mtandao wako kuepuka laini kufungiwa.
#HakikiLainaYako
#2023kidijitalizaidi
Kwani wakifunga line Mwenye hasara ni mtumiaji au kampuni husika na je Usajili laini nao utakuwa umefungwa auZimebaki siku chache kufikia Tar 13 Februari 2023.
Hakiki Leo. Piga *106#, chagua 5 kisha chagua 1 kuhakiki namba kuu au chagua 2 kuhakiki namba za ziada.
Pia unaweza kutembelea duka au Wakala wa mtandao wako kuepuka laini kufungiwa.
View attachment 2508175
#HakikiLainaYako
#2023kidijitalizaidi
Hakiki Tigo wanakupa GB 8 bure Kwa siku 14.Hatuhakiki fungueni mpaka mshushe bei za bundle ndio tutahakiki.
Kuna GB 8 za bure, acha kushupaza shingo.Kwani wakifunga line Mwenye hasara ni mtumiaji au kampuni husika na je Usajili laini nao utakuwa umefungwa au
Subutu Gb za Bure wapi nduguKuna GB 8 za bure, acha kushupaza shingo.
Bonyeza *106# OK
Halafu bonyeza 5
Halafu hakiki Kwa namba ya Nida au Tigo pesa then imoo.
Hili nalo litapita tu, pyuuuuu! Ile hela tuma namba hii itaendelea.Zimebaki siku chache kufikia Tar 13 Februari 2023.