Hata maandalizi hakuna?Mkuu bado saa 2 ndio tunaenda kanisani unataka tufanye kampeni sahizi kweli?
subiri jioni utaona uzinduzi wa kampeni maeneo mbalimbali
Matumizi mabaya ya kodi yangu.Si mmesusia uchaguzi? Mnaouongelea wa nn? Nyambafu
Eti kuweni wazalendo, uzalendo unajengwa kwa kuheshimu katiba na sheria za nchi, sio kwa kuua, kuteka, kukamata watu, kutesa watu na kupiga risasi watu wanaopishana na wewe kimawazoUmoja wa kitaifa umewekwa mfukoni!
Wacha umalayaSi mmesusia uchaguzi? Mnaouongelea wa nn? Nyambafu
Toka lini nguruwe wakawa na aibu?Ccm hawana aibu wewe
Mwanya wa kula kodi zetu, tukisema ni Chama Cha Mafisadi wanabishaHuwa hawaoni aibu wale, kimsingi walitakiwa kutangaza tu hao walopita bila "kupingwa". Muda na rasilimali vinateketezwa!