Uchaguzi 2020 Leo kampeni zinaanza, CCM wanaona aibu kufanya kampeni peke yao?

Uchaguzi 2020 Leo kampeni zinaanza, CCM wanaona aibu kufanya kampeni peke yao?

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
Toka nizaliwe sijawahi kuona kampeni zilizopoa kama hizi za uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji. Ile hamasa na shamra shamra tulizozoea miaka ya nyuma hazipo kabisa.

Naona uchaguzi huu utavunja rekodi kwa kuwa na wapiga kura wachache kuwahi kutokea nchini. Hii ni dalili ya kifo cha demokrasia na umoja wa kitaifa.
 
Huwa hawaoni aibu wale, kimsingi walitakiwa kutangaza tu hao walopita bila "kupingwa". Muda na rasilimali vinateketezwa!
 
Watatumia majina ya wasioenda ili kunyumbulisha idadi ya waliopiga kura ionekane imepaa!
 
Back
Top Bottom